Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,806
Leo Queen of the south season 5 inaanza kuachiwa
Mishe za umafia, siasa chafu, usaliti, ugaidi nazikubali sana mzee like Homeland.Wakuu huu mzigo niliangalia miaka ya nyuma episodes kama 3 hivi ila wiki iliyopita nikashusha wote season 1 na kumalizia season zote 8 aisee wacha watu kwenye social media wapige kelele kuhusu season 2 inatoka lini maana si mchezo humo kwenye issue za umafia alafu unakutana na warusi ndani hatari sana
View attachment 1745186
Shida Ina epsode 3 tu na iko season one pekeeWakuu huu mzigo niliangalia miaka ya nyuma episodes kama 3 hivi ila wiki iliyopita nikashusha wote season 1 na kumalizia season zote 8 aisee wacha watu kwenye social media wapige kelele kuhusu season 2 inatoka lini maana si mchezo humo kwenye issue za umafia alafu unakutana na warusi ndani hatari sana
View attachment 1745186
Safi sana na nahic itakuwa season ya mwisho kama sikoseiLeo Queen of the south season 5 inaanza kuachiwa
Treadstone ni balaaNimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.The bastard executioner
6.Limitless
7. Jessica Jones
8.The Returned
9.Tyrat
10.Power
Yah! Tunapenda vitu vinavyofanana mzee maana iyo homeland since day 1 naangaliaMishe za umafia, siasa chafu, usaliti, ugaidi nazikubali sana mzee like Homeland.
Ina episodes 8 mzee labda utakuwa unaongelea series nyingineShida Ina epsode 3 tu na iko season one pekee
Yeah ni bonge la series ila ndio haitoendelea tena season 2Treadstone ni balaa
The Treadstone project, having created super spy Jason Bourne, turns its attention on a new protocol to develop unstoppable superhuman assassins.
Nimeichek teatv inadisplay season moja yenye epsode 3Ina episodes 8 mzee labda utakuwa unaongelea series nyingine
Daa hii Homeland ni bonge moja la series, hvi ambayo unaona inafanana na hiii kimaudhui ni zipi mkuu.Yah! Tunapenda vitu vinavyofanana mzee maana iyo homeland since day 1 naangalia
Hata mimi ile character ya Redington ( a know all) very boringMkuu Blacklist imenishinda aisee. Hivi ina uzuri gani mpaka umefika Season 9 huko ?
Mimi nimpenzi wa series zenye fantasy sana plus horror ...pia za vita za kizamani za mapanga...Muulize anapenda series zenye genres za aina gani? Ndio umsaidie
Hata mimi ile character ya Redington ( a know all) very boring
Exactly.......Too predictable always boring
Basi the blacklist haikufai maana izo zote nimeziona kasoro once upon a tymMimi nimpenzi wa series zenye fantasy sana plus horror ...pia za vita za kizamani za mapanga...
Mfano
Once upon a time
Supernatural
The walking dead
The last Kingdom
GOT
Vikings
Kama unafahamu series yeny genre inayofanana na series yoyote hapo, nisaidie majina nizishushe
Iyo siyo site inayoaminika mzee ukitaja kujua infoz za uhakika kuhusu series yoyote angalia WikipediaNimeichek teatv inadisplay season moja yenye epsode 3
Hujaangalia The blacklist mzee maana reddington anakutana na wajuaji zaidi yake na wanamuendesha balaa na kitu kingine reddington hajui kila kitu bali ana connections nyingiHata mimi ile character ya Redington ( a know all) very boring
Mhhh! Kuna watu wa aina 3 bro wanaotizama movies au series:Daa hii Homeland ni bonge moja la series, hvi ambayo unaona inafanana na hiii kimaudhui ni zipi mkuu.
Nimeangalia zaidi ya 19 - episodes nachokiongea nakijua.Hujaangalia The blacklist mzee maana reddington anakutana na wajuaji zaidi yake na wanamuendesha balaa na kitu kingine reddington hajui kila kitu bali ana connections nyingi
kweli mkuu umefafanua vzr.Mhhh! Kuna watu wa aina 3 bro wanaotizama movies au series:
1:Kuna wale ambayo wanaangalia series na movies zote kwa kuangalia story ya iyo movies au series.
2:Kuna wale wameangalia series ambayo wao wanaiona bora then wanaziponda series zingine kwa kuziona mbaya kwasababu anaamini series yake bora aliyoiona ni kali kuliko zingine.
3:Kuna wale wafata matukio kwenye series au movies hasa hasa ngumi, mapanga au kukimbizana kama series haina scenes izo basi utasikia imepoa.
So wewe angalia genres ya homeland then angalia series inayofanana na izo, angalia trailers na omba ushauri humu au hata washkaji zako watakwambia ipoje maana hata iyo homeland humu ndani watu wameiponda kichizi