Series (Special thread)

Akili kubwa ya Einsten au????? Kwamba yale mafarasi na mapanga kuangalia watu wanapigana tu inahitaji akili kubwaa????

Acha utani kijanaa kuna series zinahitaji akili lakini huo Upuuzi unahitaji Mtu ambae yeye series anaangalia ili mradi kaangalia tuu... Hakuna kitu
GOT inatakawa watu wenye akili kubwa kuchanganua mambo mzee ile sio "Jumba la dhahabu" ama merlin..ukizoea series rahisi rahisi ambazo unaweza bashiri jambo litakalofata.Bhasi hutaiweza.Hii mambo inawenyewe na wenyewe ndio sisi

Pia kuna series zingine mwanzo zinaboa,hazieleweki,zimepoa sana ila mbeleni ni moto wa kuotea mbali mfano BREAKING BAD na 24

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kukaa naangalia series Episode moja mara mbili kisa tu niilewe... Huo muda sinaaa...!!

The 100 now hata me nimeipotezea naona imeanza machenga chenga mkuu kiukweli... Ila zile season za mwanzo aisee acha kabisa... Kina Octavia kule porinii ule mziki mwingne...
Moja ya series ambazo zinaboa sana unapoanza kuzingalia ni GoT na Breaking Bad... yaani ni kama parachichi vile! Hizi zote unatakiwa kuwa na roho ngumu kuangalia episodes za awali!

Kwa bahati mbaya sana, huwezi kutaja series 10 bora duniani ukaziacha GoT na Breaking Bad... huo ndio ukweli wenyewe! Aidha orodha iandaliwe na watazamaji au wataalamu wa filamu... zote hizo utazikuta kwenye orodha yoyote ile, tena zikiwa juu juu!
 
Breaking Bad niliielewa na mpaka Leo naendelea kuingaliaa...!! Yani kuna GOT na Last ship nilishindwa kuendelea nazo..
Moja ya series ambazo zinaboa sana unapoanza kuzingalia ni GoT na Breaking Bad... yaani ni kama parachichi vile! Hizi zote unatakiwa kuwa na roho ngumu kuangalia episodes za awali!

Kwa bahati mbaya sana, huwezi kutaja series 10 bora duniani ukaziacha GoT na Breaking Bad... huo ndio ukweli wenyewe! Aidha orodha iandaliwe na watazamaji au wataalamu wa filamu... zote hizo utazikuta kwenye orodha yoyote ile, tena zikiwa juu juu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom