Haya ndo matano anayodai moja ya mtumishi aliyepo kariakoo..
1. Baraza la Mawaziri livunjwe
2. Mkuu wa mkoa wa DSM akae chonjo.
3. Alipwe mishahara yake na marupurupu yake yote.
4. apate stahiki zake zote alizoahidiwa na bosi wake ikiwemo Nyumba, usafiri.
5. Mimi na wewe tuonane, ndio wewe.