IDDI M CHAMSHAMA
Senior Member
- Oct 14, 2012
- 168
- 39
The Event ni series moja kali cjui kwann waliikatili,tuandamane waiendeleze
hahaha apo sjataja nyingine kibao
Ivi huwa mnaziangaliaga saa ngapi?
ndio zipo kwenye soft kopyMkuu Unazo kwenye soft copy? Nazihitaji
The Event ni series moja kali cjui kwann waliikatili,tuandamane waiendeleze
Nazihitaji, nazipataje?ndio zipo kwenye soft kopy
Jumba la Zahabu ndani kina mzee Chilo na Jini Kabula