Series ipi nzuri zaidi ambayo umeitazama

Series ipi nzuri zaidi ambayo umeitazama

The originals
Penny dreadful
The strain
The 100
Vikings
Da vincis demon
Black sails
Crisis
Dominion
Gang related
Witches of east end
The last ship
tyrant
Almost human
Helix
Hermlock grove
Salem
Orphan black
N.k

Unatishaaaaaa!!!
 
Wakuu nadhani series pia zina interest ya mtu.., na sababu jamaa kasema 24, prison break, Nikita, Arrow mtakuwa mmeshajua anapenda series za aina gani.., hivyo basi zinazoendana na hizo angalau na Nzuri ni

Person of Interest
Blacklist
Falling Skies
The 100

lla kama unapenda issue za kina The Sails, Spartacus n.k. huenda Banshee ikakufaa sana

Ila ukiniuliza mimi a bit of everything including dialogue angalia....
Game of Thrones

Black List naikubali sana; iko vizuri kwa ujumla
 
Hizi nazo ni mojawapo ya series nzuri sana!!!

Breaking bad
Game of throne
Homeland
Suits
Scandal
Crisis
Hostages
 
Katika Series ambazo hazina logic na hii nadhani ni mojawapo.., kwanza lead actress ni boring and in my opinion she can not act, pili mtu anafanya revenge kwa mtu fulani lakini hio revenge eti anatumia mbinu zinazomuumiza yeye na watu wake wa karibu..

Hii series ilikuwa na a good story/plot mwanzoni ila nadhani baada ya kuwa famous watunzi wakairefusha na kuongeza story mbaka story haina sense tena.., sijui huko mbele ilikwendaje sababu mimi niliachia njiani.., na series nyingi zinakumbwa na huu upuuzi watunzi wanarefusha stories wakati mwanzo walipanga ziwe fupi, hii inasababishwa na TV Networks kuwaambia waongezee season kila mara wakiona series bado ina mashabiki.., na isipokuwa na Mashabiki hata kama series ni nzuri inakuwa cancelled hata kama story bado haijaisha.., The Event, na nyingine nyingi ambazo zinaishia kwenye cliff hanger ni mfano mzuri

asanten wadau ntaitafuta hyo
 
The originals
Penny dreadful
The strain
The 100
Vikings
Da vincis demon
Black sails
Crisis
Dominion
Gang related
Witches of east end
The last ship
tyrant
Almost human
Helix
Hermlock grove
Salem
Orphan black
N.k

lakin si umeona aina za series ambazo mm nazikubal hapo c unaniwekea series za imagination cnaga mzuka nazo hzo
 
Wakuu nadhani series pia zina interest ya mtu.., na sababu jamaa kasema 24, prison break, Nikita, Arrow mtakuwa mmeshajua anapenda series za aina gani.., hivyo basi zinazoendana na hizo angalau na Nzuri ni

Person of Interest
Blacklist
Falling Skies
The 100

lla kama unapenda issue za kina The Sails, Spartacus n.k. huenda Banshee ikakufaa sana

Ila ukiniuliza mimi a bit of everything including dialogue angalia....
Game of Thrones

asanteh mdau kwa kunielewa ww umenielewa series ambzo mm napenda
 
Back
Top Bottom