Serie A ndani ya dikoda ya Canal+ sport


Boss nisaidie namba ya wakala wako huu mm nina jamaa ananila 65k mzee
 
Kwa sababu programu nyingi zilizopo huko ni kwa lugha ya Kifaransa...

Na hakuna TV za kiswahili swahili huko sijui kina ITV, Citizen n.k
Yah ni kweli kule lugha ni kifaransa pasee!

Ila kwasisi watu wa mpira, tunaburudika nayo kibishi.
 
Baada ya Dstv kusema hataonyesha Europ League, nimeamua kuagiza dikoda yangu ya Canal ambayo j5 itakuwa inanifikia kutoka Kigoma.
Jamaa ameniuzia kwa 150,000 sijui amenila au lah? All in all, nitafaidi maana jamaa ninae fanya naye kazi huu ni mwaka na nusu anakula burudani kwa bei rahisi.
 
Wenye Tamaa ya kitonga lazima waliwe na walie...

Mikitu yote isiyo rasmi huwa ikimaliza mwaka zari lako.. but mostly huwa ni trial na mataperi hutumia nafasi hapo hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…