Serie A ndani ya dikoda ya Canal+ sport

Hatimae wale wadau wa Canal Sport, kilio chenu kimesikika sasa ligi ya Serie A itaanza kuonekana katika king'amuzi cha Canal Sport kwanzia mwezi huu wa 8 tarehe 24.

Kupitia Canal Sport sasa utapata ligi zifuatazo mubashara
Uefa Champions League
Uefa Europa League
EPL
La Liga
Serie A
Ligue 1
CAF Champions League

Tunafaidi uhondo wote huo kwa Tshs. 40,000/= (Elfu Arobaini) kwa mwezi tu. Tafuta wakala wake ufaidi uhondo, huko kwengine unaibiwa, toroka uje!

NB:
Mimi nimewashtua tu wadau wa soka, mimi siuzi hivyo ving'amuzi, nimeamua kutumia kauli mbiu, Kizuri kula na mwenzako.

View attachment 1178239

Boss nisaidie namba ya wakala wako huu mm nina jamaa ananila 65k mzee
 
Kwa sababu programu nyingi zilizopo huko ni kwa lugha ya Kifaransa...

Na hakuna TV za kiswahili swahili huko sijui kina ITV, Citizen n.k
Yah ni kweli kule lugha ni kifaransa pasee!

Ila kwasisi watu wa mpira, tunaburudika nayo kibishi.
 
Baada ya Dstv kusema hataonyesha Europ League, nimeamua kuagiza dikoda yangu ya Canal ambayo j5 itakuwa inanifikia kutoka Kigoma.
Jamaa ameniuzia kwa 150,000 sijui amenila au lah? All in all, nitafaidi maana jamaa ninae fanya naye kazi huu ni mwaka na nusu anakula burudani kwa bei rahisi.
 
Wenye Tamaa ya kitonga lazima waliwe na walie...

Mikitu yote isiyo rasmi huwa ikimaliza mwaka zari lako.. but mostly huwa ni trial na mataperi hutumia nafasi hapo hapo
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom