Serie A ndani ya dikoda ya Canal+ sport

Nakula raha, nimekifunga leo. Super cup hapa, Liver Vs Chelsea

Baada ya Dstv kusema hataonyesha Europ League, nimeamua kuagiza dikoda yangu ya Canal ambayo j5 itakuwa inanifikia kutoka Kigoma.
Jamaa ameniuzia kwa 150,000 sijui amenila au lah? All in all, nitafaidi maana jamaa ninae fanya naye kazi huu ni mwaka na nusu anakula burudani kwa bei rahisi.
 
Hiyo elf 40 huko mbeleni haitakuja kupanda bei? Usikute pengine ni bei ya kuvutia wateja wakishapatikana basi kinapaa hadi lak 1 na mgawanyo kibao mara compact+,premeum n.k
Mwaka wa4 huu natumia Canal+ bei ni hiyo hiyo. Pia Kwa wale Wapenzi wa pilau ikilipia Premium yao kuna pilau nyingi tena zinapikwa live kabisa ukiziona.
 
Hiki kisimbusi kwa bongo ni ujanja ujanja tu, hakina vibali vya kufanya kazi tz.....ni kosa kisheria kukimiliki

Hakuna njia ya malipo ya kibongo, ili kulipia inabidi mtu aende nchi yenye kibali kama congo kisha alipie huko kwa hela za congo
Hapa sasa ndio kuna ma middle man

Kisimbusi hiki ni kwaajili ya watu wanaotumia lugha ya kifaransa, hivyo chaneli karibia zote lugha ni kifaransa, sahau kukuta tbc citizen nk

Ukipata shida yoyote sahau kuhusu huduma kwa wateja ulio izoea kwa dstv azam nk

Ni kweli kwamba utafaidi zaidi chaneli za footbal za ligi karibu zote kubwa lakini kwa lugha ya kifaransa
Ukiondoa michezo chaneli zingine zilizobakia ni shida.....full kifaransa na chaneli chache sana za kiingereza
Endelea kuishi kwa kukariri
 
Mwaka wa4 huu natumia Canal+ bei ni hiyo hiyo. Pia Kwa wale Wapenzi wa pilau ikilipia Premium yao kuna pilau nyingi tena zinapikwa live kabisa ukiziona.
Hahah niliwahi kua na Azam Tv miaka ya nyuma nikaenda kule kwny other channels kulikua na frequency wana JF walikua wanazitoa uki add unapata free channels,nikapata 1 hio inaitwa Hustler Tv daah 24/7 ni pilau tu ilibidi niitoe tu tu aisee.
 
Naona wameona waende sambamba na ving'amuzi vya ndani.
Ntajiunga soon kwny canal hapo maana mi ugonjwa wangu ni movies,mpira ni mpk niukute unaonyeshwa la sivyo sinaga hata ratiba.

Huku S/Sport wanatuchagi parefu halafu hamna kitu,sana sana nitamiss labda channel ya bbc brit kipindi cha top gear.
 
Top gear canal ipo sena nayo kifaransa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom