TAARIFA MUHIMU:Kama kuna mtu ambae atakua hajaelewa anaeza pata mtu kumsaidia kufafanua.binafsi siwezi kutafsiri kwa kiswahili!
Thanks for your concerns anyways!
hafiki mbali wapi bandugu....? watu police wapo kimya na kuzuia maandamano na kuimarisha ulinzi kwa kesi ya Ponda na Lwakatare huku wengine wanakufa...
Mkuu mie hii nchi nshaifahamu vizuri sana hasa awamu hii ya JK, wakija I'll dance wit em, michezo ya kitoto sana hii, what matters is who takes the bullet first, either way the game ends there...!! wha ha ha ha
Ni kweli na lazima atakuwa bedui tu au jeshi la mtu mmoja wa kiukweli. Nilishangaa leo maeneo ya kariakoo. Yaani jamaa (muhindi/mwarabu) anaendesha pikipiki kavaa jaketi la kuzuia upepo wakati akiendesha pikipiki, yaani lile daladala la Buguruni baadhi ya watu walianza kushuka wengine kukimbilia nyuma ya daladala kumuhofia jamaa wakati yeye hana hili wala lile yuko tu na safari zake za mjini. Alipokuja polisi kuuliza akaambiwa jamaa anafanana na mtu anayezungumzwa redioni. Yaani wabongo kwa ujingaaaa, samahani for the few ambao hawako hivi. naona kina Joti na Ze Comedy yao wametufanya kutostaharabika, tumekuwa wajinga wa kutupwa. Utashangaa mtu ana anguka na pikipiki watu watamkibilia kumuona na kumshangaa huku wakiacha kazi zao na msaada hawatoi, sasa why are they there at first?sasa hivi daladala zitakua zinagonga kila jamaa mwenye pikipiki anayeonekana hatari kwao na watamlamba tu, tanzania hatujafikia kuwa na efficient serial killers
akifikisha wanne basi huyo sio mtanzania
Mkapa alisema tutamkumbuka
du, sasa kujilinda wenyewe si itakuwa kazi zaidi!? japo snipers walisumbua kipindi fulani US lakini nadhani wenzetu walikuwa na nia ya dhati na hapa huwezi jua ni nani anawatuma kama si hao hao wanaopaswa kutulinda. Tuna shida kweliKIFUPI TANZANIA HATUNA POLISI WAMEKALIA SIASA TU HUKU WANANCHI TUNATESEKA TU