Serial killer in Dar!

Serial killer in Dar!

Lisa Rina

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2010
Posts
3,258
Reaction score
6,877
Sending As Received! Please be careful out there!

There appears to be a serial killer in Dar. He just did it again. Shot a driver in the neck and the unfortunate driver died instantly at kinondoni, the road between mkwajuni and magomeni. He did the same thing the day before yesterday at bagamoyo road. He is said to be light skinned and drives a motorbike. Please be careful as you drive since this man will purposely cause an accident and then pulls out a gun and kills the driver of vehicle. Kindly Send this to the ones you care for...


wakuu mkumbuke kama wiki tu iliyopita dereva wa dala dala alippigwa risasi na kijana huyu pia pia mwishoni mwa wiki iliyopita pia kuja jamaa alipigwa risasi bagamoyo road kwa staili hiyo hiyo sasa jana pia ikawa hivi

Kuna muwaji ameibuka jijini Dar kwa sasa, leo ameuwa mtu mmoja maeneo ya Kinondoni. Amempiga risasi ya kifua Mtu mmoja ndani ya gari alilokuwa anaendeshawa kwenye Barabara ya Kinondoni, katikati ya Mkwajuni na Magomeni.
Tukio kama hilo lilitokea Juzi kwenye Barabara ya Bagamoyo, Muuwaji huyo ni mwembamba na huendesha Pikipiki.
Ni vyema mkawa makini mnapokuwa mnaendesha Magari, maana chanzo chake kikuu huwa ni kusababisha Ajali na punde unapoanzisha mabishano nae huamua kutoa Bastola na kumpiga risasi Dereva.
Tafadhali, tusaidiane kusambaza ujumbe huu kwa wote tunaowajali na kuwapenda......







KIFUPI TANZANIA HATUNA POLISI WAMEKALIA SIASA TU HUKU WANANCHI TUNATESEKA TU
 
Dah!Hatari sana,kwa kweli nikuchukua tahadhari
 
Yule muuaji mwingine aliyekuwa anawachukua wake za watu anaenda kuwaulia guest kwa kuwachoma kisu cha shingoni imeishia wapi?
 
Yule muuaji mwingine aliyekuwa anawachukua wake za watu anaenda kuwaulia guest kwa kuwachoma kisu cha shingoni imeishia wapi?


Aaah, yule aliishia porini na jina lake siku hizi anaitwa distazo yaani punda milia, yeye kazi yake kubwa siku hizi ni kupanda wanyama wenzake shingoni.
 
Last edited by a moderator:
Pia Naskia Kuna Dereva wa Dala*2 ameuawa juzi J3 Kumekucha Sinza Shekilango Rd. na M2 kwenye Motorbike Duh
 
is this serious? Yani from nowhere anauwa..? Munguwangu!! Au hao anaowauwa kuna ki2 nyuma ya pazia.maana tanzania hii mt unamwona ako busy na ki2 flani kumbe ni zugu.hapa mtaani mwetu kuna mwendesha bodaboda kumbe ni jambazi.aliuwawa mchana kweupe na kukutwa na bastola
 
Yule muuaji mwingine aliyekuwa anawachukua wake za watu anaenda kuwaulia guest kwa kuwachoma kisu cha shingoni imeishia wapi?

Alishakamatwa na yuko segerea....sad enough ni mgonjwa wa ukimwi na alisema anafanya hivyo kwa kuwa wanawake wamemuambukiza ukimwi so analipiza
 
wala hafiki mbali, atakufa very soon

hafiki mbali wapi bandugu....? watu police wapo kimya na kuzuia maandamano na kuimarisha ulinzi kwa kesi ya Ponda na Lwakatare huku wengine wanakufa...
 
nchi inaongozwa kisiasa ndio maana tumefikia hapa.kila kitu ni siasa.watu wanauliwa kinasingiziwa chama fulani ili kukikomoa.hatutafika mbali watu watachoka,inaweza kuwa ya tunisia.viongozi wa dini wanauliwa kimya,waandishi wanauliwa serikali kimya,wananchi wauliwa yaani kila siku stori ni hizohizo tu.ndio kwanza kiongozi wa nchi anasafiri
 
Alishakamatwa na yuko segerea....sad enough ni mgonjwa wa ukimwi na alisema anafanya hivyo kwa kuwa wanawake wamemuambukiza ukimwi so analipiza



Source ya haya maneno iko wapi? Ningependa sana kujuwa kama ni kweli. Sasa mpaka mtu unakuja kuua wanawake wa watu kisa unasingizia ukimwi si balaa hii? Inawezekana ana ukimwi ila anaua kwa sababu ni hobby yake, maana wengi wanaoua binadamu wanakuwa kama wana laana fulani hivi na akishaua mtu mmoja inakuwa ndiyo hobby tena, ataua mpaka akamatwe.
 
Back
Top Bottom