Serengeti chupa kubwa ni TZS 2,000, Mungu atupe nini?

kwani ndovu haina harufu.. hata wines zina harufu
Ndovu ni nafuu mkuu kulinganisha na safari au Kilimanjaro... ila ukinywa Heineken na Windhoek aisee ni fresh mno unaamka utasema hujanywa pombe yaani kichwa ipo fresh....
 
Ndovu ni nafuu mkuu kulinganisha na safari au Kilimanjaro... ila ukinywa Heineken na Windhoek aisee ni fresh mno unaamka utasema hujanywa pombe yaani kichwa ipo fresh....
Man lusungo ngoja nami nianze kunywa hiyo.. maana mm mzee wa castle lager tu
 
Man lusungo ngoja nami nianze kunywa hiyo.. maana mm mzee wa castle lager tu
Ukiweza hamia kwa akina Windhoek na Heineken kabisa.... ila kuna castle lite zimeingia jamaa alinambia nijaribu aisee tamu tofauti na za awali zina vizipo vimechorwa hivi havijafunikwa kama vile vya awali.... nilikunywa niliamka fresh kama nimekunywa windhoek....
 
Makuburi pembeni ya TFDA.

Watoto naowaonaga ni wa kawaida. Labda kwavile huwa nakuja hapa na my wife na ni mzuri kimtindo.
Acha ushamba bwanamdogo unaendaje bar na wife? dunia unaifaidije sasa?
 
Mbona huku maeneo ya Tandika, Azimio, Soweto, Kichangani na Mtongani hayo mapombe sijayaona?
 
IMG_20170105_160356.jpg

Ujumbe wao tu, mm huwa nachoka kabisa
 
Lakini mpaka umalize chupa nzima ya Stolichnaya si unakua unaongea habari ingine.....?.....
Leo tukutane wapi tupige hiyo......mrusi nomaaa.....
Tafadhali msiniache... Grants naona ishakuwa kama uji kwa mgonjwa.

Nije nibadili ladha mimi jamani...
 
Back
Top Bottom