Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Serengeti Breweries Limited (SBL) mnajua kwenda na kipindi. Safi sana.
Chupa ndogo 3 ni TZS 5,000 TU. Maanake,TZS 20,000 unakunywa chupa ndogo 12 kiroho safi.
Kuonesha kwamba mna mapenzi ya dhati kwetu, mmeamua chupa kubwa n TZS 2,000.Hamtaki vurugu na mtu.
Tushukuru kwa kila jambo.
Mungu atupe nini?