KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
Duu! huwa unamsisimuaje wakuu!
Mabody mengine bora tu uone juu ya nguo...sioni kitu chochote cha zaidi. Kumbe cellulite kama mie nisiye fanya mazoezi....
Kwenye choo cha kisasa hizo staili zote zinafaa tu.
Duu! huwa unamsisimuaje wakuu!
Mwanamke ana misuli huyo!! Ingekuwa chaguo siyo type kabisa!! Labda kwa wale marios na masharo wanaoshobokea hela za wamama matajiri wa mujini.
Ni kweli kabisa mkuu, ona alivyo sexy..Dada yake Venus ndo yuko kike bana !