Ndio tatizo linaloikuta jamii yetu kushindwa kupeana support kwa kudhani mafanikio ya mtu ni yake tu na sio ya jamii wakati mtu huyo
Atajenga nyumba na kulala chumba kimoja.
Atajenga hotel kubwa
Atajenga kumbi za starehe
Atanunua nguo nk ambayo ni kwa faida ya jamii