Serena advert and greedyness of Kenyans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serena advert and greedyness of Kenyans

Discussion in 'International Forum' started by Geza Ulole, May 20, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,031
  Trophy Points: 280
  I saw the advert of serena Hotels for CNN Journalists award sponsorship on the CCN and i'm suprized to see Kilimanjaro, Serengeti and Nungwi Forests were mentioned without their respective countries names i.e. where they are found but Animal Migration was mentioned with Kenya as if that seasonal migration happens only in Kenya! However Of the four movements/circuits in one complete circle in a year, three happens in Serengeti within Tanzania and for the whole year the animals spend only 3 months in Masai Mara! Suprizes dont end there since migration has to have a point of start and end but their Migration has only Kenya though the company is positioning itself as East african for that reason, i urgue Tanzanians not to let one visa stupidity happen cause these dudes are refusing to acknowledge Mt Kilimanjaro, Serengeti are in Tanzania and migration happens between two countries! I won't be suprized to hear there more extreme greedyness if we allow this one visa thing for Tourists! Though Serena Hotels have equal number of Hotels in Tanzania compared to Kenya, Tanzania is misrepresented on that advert! though EAC pushed for every advert to be under EA banner of which tanzania complied with "Tanzania the land of Kilimanjaro, Zanzibar and the Serengeti", i did not see any EA banner with "Magical Kenya advert" and that shows the continuing greedy with delibaretly intentions we are used to from this Northern neighbours! Pls i urgue Tanzanians to note that and not to feel ashamed of avoiding the Serena Hotels which by the way are owned by the Aga Khan + other foreign owners as majorities but embrace Kenyan arrogance and avoid a wider East African representation though they make a lot of money from Tanzania!
   
 2. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  achana nao hao jamaa sie TUSHAWAZOEA...love thy enemies...ingawa najua wanajuwa kuwa WE R SMART as our father NYERERE used to be when their father KENYATTA played silly games with our mount kilimanjaro...LAKINI NAAMINI...TRUTH WILL ALWAYS STAND STILL.
   
 3. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Bro, huo ndiyo utandawazi and salesmanship. Instead of blame game let us invest more in advertising tanzanias' tourist attractions.
  Bila kuwekeza hivyo tutakuwa taifa la kulalamika tu. Kwa upande mwingine tuwashukuru kwa kutusaidia kutangaza vivutio hivyo.
   
 4. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mzee who cares???????

  serikali yetu imelala......hayo hayajaanza leo!! Kwa taarifa yako tu insider information ni kuwa watalii wote wanaokuja kupitia Serena Hotels and Lodges malipo yote yanafanyika kupitia kenya. So itinerary inaanzia kenya kuja kumalizia mbuga za Tanzania.

  Not even a single dollar inayokuja hapa nchini.....ukiondoa vidola vichache vya extras such as drinks na game drives ambavyo pia vinakuwa transfered thru fund transfers to Kenya. 80% of the management positions katika hotel zote za kitalii Arusha na mbugani zinashikiliwa na wakenya.Kazi zetu wabongo ni kuwa ma porter tu!!

   
 5. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waswahili husema mtegemea cha nduguye hufa maskini.

  Si kazi ya kenya kutangangaza tourists attractives in Tanzania. Ni kazi ya watanzania wenyewe kama wanataka kuvutia watalii
   
 6. C

  Chipyopyo Member

  #6
  May 20, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana bro.....! but we are still asleep!!!!... Pamoja na kwamba wametusaidia kutangaza, kumbuka wale tourists watapitia Kenya then ndiyo watajua ukweli ndipo waje TZ either kwa gari au plane tena.
  But cha kusema ni kwamba bado wakenya wanatuibia mapato meeeengi sana ambayo tungepata kwenye airports zetu kama hao watalii wangekuja direct TZ. Na zaidi wangelala kwenye mahoteli yatu!!!
   
 7. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani sasa imefika wakati kama wametuzidi kete serikali icheze mchezo huu: iwaache waKenya waendelee kutangaza Kili, Serengeti etc viko kwao lakini ihakikishe pia inaongeza umakini katika mipaka haswa Namanga na sehemu zingine ambapo mbuga za wanyama za nchi hizi mbili zinakutana ili watalii waelewe ukweli.

  Sasa hivi hali ilivyo ni kwamba watalii wanapita kirahisi mipakani hivyo wanaweza wasielewe kuwa wameingia nchi ingine
   
 8. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Tufanye Kilimanjaro iko kwao basi hata Dodoma iko Kenya
   
 9. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  You guys stop crying foul and do something about it. Its quite easy to clear the issue on Kilimanjaro, everyone and their mama's know that its in kenya, now you should lay strategies on how to demystify this wrong perception (myth), make enough adverts, hire spin doctors if need be, its not rocket science, its something which can be done if your government wills, don't you see that there is someone somewhere getting kickbacks from all this? Why complain and the world is now a village, thanks to the internets. Stop being played, we are not the enemy, your government is, how many Kenyans do you think benefit from the Kilimanjaro, how many Kenyans have seen the adverts, how many Kenyans care whether serengeti is located in Kenya or Tanzania, not many, the only hing we care about is having enough for our children and families. Am pretty sure that there is a pact by some senior officials in both countries who benefit from all this, stop being naive and ask yourself some hard questions, Kenya is not the devil, it has never been, OUR politicians are.
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  i watch too one documentary in discovery channel,it was about serengeti na ilionyesha kama wale watalii wako kenya,kumbe waliingilia kenya then wakaja mpaka serengeti upande wa T.Z.lakini katika ile documentery sikuona sehemu yoyote iliyoonyesha jina la Tanzania likitajwa ingawa mwisho ilionyesha hao watalii waliondokea arusha kwenye uwanja wa K.I.A.sijui serikali yetu inafanya nini kuhusu swala hili,au ndio washazidiwa na ulevi wa corruption.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  YOU ARE RIGHT SMATTA

  ADUI YETU NI SISI WENYEWE, KULAUMU kenya ni kujimaliza wenyewe hali si hali
   
 12. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Si kweli, tanzania inaingiza dola nyingi za utalii kuliko Kenya..kitu kama 1.3bn usds against their 0.8bn. It's not too late, suala ni kuchukua hatua kuerekebisha. wao wanapata watalii wengi lakini 'waliofulia' kwa sababu ya mass tourism yao, sisi tunalenga wenye nazo ingawa ni wachache. Sisi maeneo mengi tumeharibikiwa, hata kodi hazikusanywi itakuwa hiyo tena, wizi kwa kwenda mbele na hata kiongozi mkuu anabariki takrima na ufisadi. Loo, hii nchi ina matatizo ila sitaikimbia. nchi yangu nzuri kuliko Kenya..Kenya njaa kali, maskini wa kenya hana hata pa kuweka nyumba ya nyasi..tuna advantage nyingi ila viongozi hakuna...kazi kubembea na kukata mawingu.
   
 13. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45

  MKuu hapo sio kweli Kenya wanapata maopato makubwa saana ktk utalii kuliko tanzania hili liko wazi kabisa, japo kwa tanzania kuna ulegevu wa statistic ila utalii wa kenya ni mkubwa kuliko wa kwetu, na vivutio vyote tulivyonanvyo bado na kujidai kutangaza bado hatujaweza kufikisha idadi ya watalii milioni moja kwa mwaka, Kenya wameshavuka hiyo idadi kitambo,,Wako organised kuliko sisi, na ktk utalii wao hawachanganyi professionalism na siasa kama hapa kwetu, mfano ktk kutangaza wanatuma vijana ambao ni qualified sisi wanaenda Wabunge, wajumbe wa Bodi, mawaziri nk kumbuka Mahita, Msekwa walikuwa wanaenda mara kwa mara kwenye exhibition za kutangaza utalii

  Serena makao makuu yake yapo Nairobi, waaajiriwa wengi ni wakenya wanaotengenbeza hizo advert ni wakenya wanatengeneza wanachokijua, ikumbukwe hata ukiomba taarifa kwa wahusika TTB, na wizara ya utalii hawatoi on time utegemee nini?? Umefika time wabongo tuamke, opportunities are there ila hatuzichangamkii tutafuniwe?
   
 14. Loner

  Loner JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2010
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo nilipo weka red nataka kuku rekebisha kidogo.

  Serena is a chain of hotel's in both Kenya and Tanzania so what do you want them to say? Advertise only for there Kenyan lodge's and not the one's in Tanzania? And trust me it's very hard to avoid the Serena hotel's in the bush as there are very few permanent Lodge's in a place like Serengeti. On top of it they do have a good service and its considered luxury Lodge's. So just live with it... or you can start your own...
   
 15. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mkuu wengi wa watalii wanaokuja Tz wanaletwa na makampuni makubwa ambayo makao yao makuu yapo US, UK; Italy, Nairobi nk, malipo yanafanyika huko huku wanaita packege tours( Inclusive tours) unalipa kila kitu kabla hujaenda holiday,,wewe ukija unakuja na voucher tu, Nchi kama nchi haiioni dola ya hao watalii mfano mzuri ni mahoteli ya waitaliano Zanzibar na tour companies kubwa Arusha, Serena ni moja ya makampuni mengi yanayofaidika

   
 16. H

  Hellfire21 Member

  #16
  May 20, 2010
  Joined: Dec 29, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  And you are telling us all this so that ?.....We can cry with you?.shouldn't you be venting you concerns to the appropriate stakeholders ie CNN and Serena.
  I am sure if you could care to explain to them the whole Serengeti/Maasai Mara and Kilimanjaro issue like you have done in this forum.(Of Course without the Innuendos and the semantics) ,they would certainly be more enlightened about your country and maybe in the future such an incident would never recur and for the first time you would certainly have assisted your country a big deal.
  So stop wasting time with your vitrials and get working to change the perception about the subject matter.
   
 17. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Wabongo mtakuwa mnalalamika we kila siku ; adui yenu ni nyinyi wenyewe hamtaki kutumia rasilimali watu mlionayo eti tu kwasababu sio wanamtandao; hatima yake mnachagua/ mnawateua watu vihiyo and when they fail to deliver mnaanza kuwalilia waKenya!! Acheni hizo mnapeleka watu wenye degree feki kuwawakilisha kwenye baraza la Afrika Mashsriki, na wenzenu wanajua kuwa mnapeleka vihiyo na ndiyo maana wanawapiku kila kukicha!!
   
 18. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,933
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Mwana Mpotevu! Tafadhali nina .. Swali la kutaka kupata elimu/ujuzi.

  Watalii wakishalipa huko makao makuu ya hayo makampuni ya utalii, nchi yetu inafaidikaje na utaratbu huo? Au, pesa itaingiaje nchini?
  Ufafanuzi tafadhali mkuu.   
 19. T

  Tata JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,738
  Likes Received: 658
  Trophy Points: 280
  When are we Tanzanians going to stop complaining and do something to address the perceived unfair treatment from our neighbours.

  Kwani tumezuiliwa kutangaza hiyo Kilimanjaro na Serengeti sisi wenyewe mpaka wakenya watutangazie kwenye matangazo yao? Hivi unataka wakenya waseme kwenye matangazo yao kuwa "migration" ya wanyama ipi Serengeti ili iweje?

  Wao lengo lao ni kuvutia watalii waende Kenya na siyo Tanzania. Kama na sisi tunataka watalii waje Serengeti kuangalia animal migration basi tuitangaze "animal migration" bila kuitaja mbuga yao ya Maasai Mara ya Kenya.

  Lazima tujue kuwa EAC siyo suluhu ya matatizo yetu ambayo yametokana na sisi wenyewe. Kila mwanachama anaingia EAC na malengo yake ya kiuchumi na kijamii kama sisi hatuna malengo yoyote basi tutakuwa wasindikizaji tu milele.

  Tanzania itajengwa na sisi watanzania wenyewe na si vinginevyo.
   
 20. T

  Tata JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,738
  Likes Received: 658
  Trophy Points: 280
  Babu Kijana, kipaumbele cha Serikali yetu ni kukiwezesha chama tawala kushinda uchaguzi kwa kishindo kila baada ya miaka mitano. Hayo mambo ya utalii, madini, uchumi, biashara, miundombinu na mengineyo hayana umuhimu sana kihivyo.
   
Loading...