eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,653
- 13,794
Babu Kijana, kipaumbele cha Serikali yetu ni kukiwezesha chama tawala kushinda uchaguzi kwa kishindo kila baada ya miaka mitano. Hayo mambo ya utalii, madini, uchumi, biashara, miundombinu na mengineyo hayana umuhimu sana kihivyo.
Semi zako zimejaa utambuzi, ufahamu,hekima, ujuzi na uhai pia. Haya ndiyo mambo ambayo nchi yetu inatafunwa nayo. Ukiangalia wale mawaziri wakiwa bungeni, utafikiri wachawi, kazi ni kudifend chama, utafikiri chama ndiyo taifa. Lkn tunashukuru Mungu upepo wa mageuzi umeanzia Zanzibar, maslahi ya chama yamewekwa pembeni, ya nchi na wananchi yametangulia mbele.