Serena acquires Mövenpick Hotel in Dar es Salaam

Hii yote inaonyesha ulegelege wa serikali yetu. Hawa jamaa wanachofanya ni kuuziana na kubadili majina ya makampuni baada ya muda wa msamaha wa kodi kwisha (Tax holiday). Anayeingia naye anaanza kipindi chake cha msamaha wa kodi kikiisha anajiondokea na kummuzia mwingine. Na bahati nzuri wawe wameshatoa suti, tunafumba macho kama hatuwaoni vile.
 
Ma-great thinker kuna habari moto moto nimeisikia ila haina uhakika sana ningependa mtu mwenye info zaidi atujuze, eti ni kweli Movenpick imeuzwa tena na sasa inajulikana kama Serena? Msaada wa more info please then tutajadili nini nataka kukizungumzia kuhusu hii nchi yetu. Karibuni kwa maoni na taarifa zaidi.
 
Royal Palm Hotel iliyokuwa inamilikiwa na Movenpick Hotels and Resorts imeuzwa kwa kampuni ya Kenya, TPS Eastern Africa, ambayo ni mwendeshaji wa hoteli za Serena. The value of transaction has not been disclosed. Wamiliki wakubwa wa TPS Eastern Africa ni Aga Khan Fund for Economic Development.

Kwa hiyo, kuanzia mwenzi ujao, Royal Palm Hotel itabadilishwa jina na kuitwa Dar es Salaam Serena Hotel. TPS Eastern Africa tayari wana wanaendesha hoteli Kenya, Zanzibar, Msumbiji, Rwanda and Uganda na kaskazni mwa Tanzania.

Inaonekana kama ni another 5 years tax exemption. Hata Wakenya huwa tunawapa tax exemption?
 
mkuu tusiwashangae tu wakenya kupewa exemption, hao wazungu kwanini tuwape exemption?
kwanini exemption isitolewe kwa wazawa?
 
Inaonekana kama ni another 5 years tax exemption. Hata Wakenya huwa tunawapa tax exemption?
Mkuu, si fice years exemption. Ilikuwa ni five year tax holiday. Ni vitu viwili tofauti. Hiyo sheria ya five years tax holiday ilishareebishwa na hicho kipengele kilishaondolewa wakati masuala ya tax exemption yana taratibu zake
 
Mkuu uko sahihi kabisa... hii imechukuliwa na Serena Hotels/resorts..sasa sijajua kama wapewa tuu upande wa management au wamepewa Jumla....tutajua baadae wakishaanza kuendesha biashara

Royal Palm Hotel iliyokuwa inamilikiwa na Movenpick Hotels and Resorts imeuzwa kwa kampuni ya Kenya, TPS Eastern Africa, ambayo ni mwendeshaji wa hoteli za Serena. The value of transaction has not been disclosed. Wamiliki wakubwa wa TPS Eastern Africa ni Aga Khan Fund for Economic Development.

Kwa hiyo, kuanzia mwenzi ujao, Royal Palm Hotel itabadilishwa jina na kuitwa Dar es Salaam Serena Hotel. TPS Eastern Africa tayari wana wanaendesha hoteli Kenya, Zanzibar, Msumbiji, Rwanda and Uganda na kaskazni mwa Tanzania.

Inaonekana kama ni another 5 years tax exemption. Hata Wakenya huwa tunawapa tax exemption?
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Serikali legelege..........
 
wanaacha kumpa tax exemption mtanzania mwenye kipato kidogo, wanampa lijitu lenye utajiri mwingi exemption.

Hii serikali imekufa long time, sijui mazishi yake yatakuwa lini ili tuisimamishe rasmi serikali nyingine, I hate it ndo mana wazawa wanakwepa kulipa kodi na me wala siwalaumu.
 
Kenya's TPS Eastern Africa , operator of the Serena Hotels chain, has bought a five-star hotel in the Tanzanian capital Dar es Salaam, giving the chain a presence in one of the region's fastest-growing economies.

TPS said it had acquired the 230-room, five-star Royal Palm Hotel from Movenpick Hotels and Resorts, without disclosing the value of the transaction.

The hotel will be renamed the Dar es Salaam Serena Hotel from next month, TPS said in a statement late on Wednesday, "The hotel will be positioned as the premier up-market five-star hotel for the discerning corporate and leisure clientele," the company said.

Ukwepaji mwingine wa kodi unafanyika ili mwekezaji apate freetax kwa miaka 5.Itaitwa serena nawasilisha
 
Mkuu mi ni mtaalamu wa Kodi.Kubadilisha jina hakuna uhusiano wowote wa kukwepa kodi.Tax holiday ilishakufa tangu 2000.Kodi inatozwa kwa operations na mtaji wa kampuni na sio jina la kampuni.Hapo kinachobadilika ni uongozi wa hotel ambao wanakuja na jina lao.Mfano makampuni ya simu yanabadilisha majina na log zao ila kodi ni ile ile.Kama imeuzwa hapo kitakua na capital gaini yax
 
Sasa haya ma TIN nyie wataalam mnatupatia ya nini?
 
Back
Top Bottom