Serena acquires Mövenpick Hotel in Dar es Salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serena acquires Mövenpick Hotel in Dar es Salaam

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tegelezeni, Jul 28, 2011.

 1. Tegelezeni

  Tegelezeni JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 268
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  File | Nation Guests choose delicacies from a buffet laid out at the Movenpick Hotel.


  Updated Thursday, November 24 2011  Earlier:

  Sasa ni dhahiri Movenpick imeshauzwa kwa mmiliki mpya ambaye ni Aga Khan anayemiliki Hoteli za Serena


  Hoteli hiyo ambayo tumeshuhudia ikiendeshwa kwa kupokezana kama mbio za vijiti ilianzishwa hapo mnamo mwaka 1995 ikiwa inamilikiwa na wafanyabiashara wa Kitanzania wakishirikiana na Wa-Russia ambapo waliunda kampuni wakaiita TANRUSS ikiwa ndio mmiliki wa jengo, lakini Hotel ikaitwa Sheraton, kwa sababu ilikuwa ikiendeshwa na menejimenti ya chain ya Sheraton...........

  Baada ya TUNRUSS kutoridhishwa na namna menejimenti ya Sheraton ilivyokuwa ikiendesha Hotel hiyo wakaitimua Kimafia na kuisimika menejimenti ya Legacy Hotel ya kule South Africa, lakini wakaamua kuweka Property name ili wasije wakapoteza Identity kama wakibadilisha menejimenti kwa mara nyingine. Kwa hiyo ikaitwa Royal Palm Hotel na kuAnzia hapo Hotel ikajulikana kwa jina la Legacy Royal Palm Hotel. Baada ya miaka kadhaa TUNRUSS wakaamua kuuza mjengo kwa Mwana wa Mfalme wa Saudia Walid BinTalal kwa silimia 99 huku TANRUSS wakibakiwa na asilimia 1 ambapo umiliki ukahamia kwenye kampuni ya mwana huyo wa Mfalme iitwayo Kingdom Hotel Investment. Hotel ilikabidhiwa kwa menejimenti ya Movenpick ambapo mwana wa mfalme ana hisa zizokadiriwa kufikia asilimia 36 katika Chain ya Movenpick. Na sasa Mwana wa Mfalme ameamua kumuuzia Aga Khan ambapo sasa inaitwa Serena Royal Palm Hotel................


  Bado kuna wingu zito kuhusiana na haki za wafanyakazi kulingana na tamko rasmi kutoka Movenpick Head Office, kwani hawajui hatma yao. Labda sasa wana sheria watusaidie kutuelimisha kama Wafanyakazi waliofanya kazi tangu Sheraton Mpaka sasa wanayo mafao yoyote au wataendelea na kazi wakiwa na mwajiri mpya bila kulipwa mafao yao?

  ANGALIZO: Ikumbukwe kwamba Hotel ina miaka 16 sasa tangu ifunguliwe hapo mnamo mwaka 1995

  Na hapa chini ndio tamko toka Movenpick makao makuu……..


   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  nilimuona mzee Walioba juzi ITV akiongelea kitu ambacho awali nilidhani nakijua kumbe la! Alisema "madini sio mali yetu" ...na akatoa ufafanuzi kidogo kuwa wamemilikishwa wawekezaji na ndio maana hata bei ikipanda mara 10,000 Mtz huna haja ya kujua au kuuliza maana hata hiyo 3% ni wao wanaopiga mahesabu!
  Sikupenda kueleza hayo yote lakini nakumbuka wakati wa utawala wa Mzee Mwinyi wakitaka kujenga 'Sheraton' kuna mtu hata alitaka kwenda mahakani kupinga lakini sote tunajua hilo lilivyokuwa gumu.
  Kweli tumekuwa watu wa ajabu na sijui itatuchukua miaka mingapi kurecover kutokana na ujinga huu, tangia niifahamu Hilton - Nairobi, Sheraton-Kampala na nyinginezo ni miaka mingi lakini mbona wako consistent na majina hayajawahi kubadilika, japo sijui juu ya wamiliki/waendeshaji.

  my take:
  kama kuna msomi ambaye ana interest na Tanzania, naomba afanye research ya 'ni nini hasa kinasumbua watu wa eneo hili la dunia (Tanzania)?
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Hatupati hiyo mkuu huwa tunagawana hivi;
  1.mwekezaji 97%
  2.kampuni ya Ku audit migodi
  1.9% (kama una kumbukumbu ndo Basil mramba aliisamehe kodi)
  3.
  watz (wazawa) 1.1%
  total 100%

  tz bila amani inawezekana!
   
 4. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hizo ndiyo pros na cons za International Business. Huna sababu kukomaa na li biashara ambalo unaona halikupi faida kwa hiyo ' kuna free entry na free exit. Ule mfumo wa 'Kichaga" wa kung'ang'ania kumiliki Toyota Stout mpaka urithishe wanao hauna nafasi kwenye globalised market.
   
 5. Tegelezeni

  Tegelezeni JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 268
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Moevenpick royal palm hotel.jpg


  Sasa ni dhahiri Movenpick imeshauzwa kwa mmiliki mpya ambaye ni Aga Khan anayemiliki Hoteli za Serena


  Hoteli hiyo ambayo tumeshuhudia ikiendeshwa kwa kupokezana kama mbio za vijiti ilianzishwa hapo mnamo mwaka 1995 ikiwa inamilikiwa na wafanyabiashara wa Kitanzania wakishirikiana na wafanyabiashara wa Ki-Russia ambapo waliunda kampuni wakaiita TANRUSS ikiwa ndio mmiliki wa jengo, lakini Hotel ikaitwa Sheraton, kwa sababu ilikuwa ikiendeshwa na menejimenti ya chain ya Sheraton........... Baada ya TUNRUSS kutoridhishwa na namna menejimenti ya Sheraton ilivyokuwa ikiendesha Hotel hiyo wakaitimua Kimafia na kuisimika menejimenti ya Legacy Hotel ya kule South Africa, lakini wakaamua kuweka Property name ili wasije wakapoteza Identity kama wakibadilisha menejimenti kwa mara nyingine. Kwa hiyo ikaitwa Royal Palm Hotel. na kuAnzia hapo Hotel ikajulikana kwa jina la Legacy Royal Palm Hotel. Baada ya miaka kadhaa TUNRUSS wakaamua kuuza mjengo kwa Mwana wa Mfalme wa Saudia Walid BinTalal kwa silimia 99 huku TANRUSS wakibakiwa na asilimia 1 ambapo umiliki ukahamia kwenye kampuni ya mwana huyo wa Mfalme iitwayo Kingdom Hotel Investment. Hotel ilikabidhiwa kwa menejimenti ya Movenpick ambapo mwana wa mfalme ana hisa zizokadiriwa kufikia asilimia 36 katika Chain ya Movenpick. Na sasa Mwana wa Mfalme ameamua kumuuzia Aga Khan ambapo sasa inaitwa Serena Royal Palm Hotel................

  Bado kuna wingu zito kuhusiana na haki za wafanyakazi kulingana na tamko rasmi kutoka Movenpick Head Office, kwani hawajui hatma yao. Labda sasa wana sheria watusaidie kutuelimisha kama Wafanyakazi waliofanya kazi tangu Sheraton Mpaka sasa wanayo mafao yoyote au wataendelea na kazi wakiwa na mwajiri mpya bila kulipwa mafao yao?

  ANGALIZO: Ikumbukwe kwamba Hotel ina miaka 16 sasa tangu ifunguliwe hapo mnamo mwaka 1995

  Na hapa chini ndio tamko toka Movenpick makao makuu……..  Internal Announcement

  July 27, 2011

  Mövenpick Hotels & Resorts will no
  longer manage Mövenpick Royal Palm
  Hotel, Tanzania


  Dear Colleagues,
  We regret to announce that Mövenpick Hotels & Resorts will no longer manage
  Mövenpick Royal Palm Hotel, Dar es Salaam – Tanzania. We are currently
  under negotiation with the ownership for the exact exit date.

  KHI, the owning company of the hotel, has decided to sell the property to the
  Serena Hotel Group that not only owns hotels but also operates them.
  The hotel staff are currently employed by a subsidiary of KHI and will be
  employed by the new owner after the sale of the property. We have been
  assured that there will be no changes to the employment agreements. We are
  also working with all parties involved to find an adequate solution for those
  employees who are flexible and who want to stay with us.

  "We have been managing the hotel since 2005 and we regret to see this property
  leaving our Africa portfolio. We would like to thank all the hotel employees for
  their hard work and dedication over the past years, they have achieved great
  results and were a key contributor to our region and Mövenpick Hotels &
  Resorts", said Roger Kacou, Senior Vice President – Africa.

  On a positive note, we have already signed a property in Arusha, Tanzania and
  we are continuously looking for potential management opportunities in the
  African region.

  Best Regards,

  Roger Kacou

  Senior Vice President - Africa
   

  Attached Files:

 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kazi kweli kweli
   
 7. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wizi mtupu..
   
 8. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Hivi mikataba ya namna hii husainiwa/huingiwa hata huko kwa wenzetu,ama?MI NAHISI HATA MUNGU ANATUSHANGAA WATZ,THE WAY TUNAVYOKUBALI KUDHULUMIWA!
   
 9. T

  Technics Member

  #9
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora imeuzwa, ile kitu sasa hivi hali yake ni mbaya sana, pale barkers basket na kule garden kumeharibika sana, inahitaji matengenezo ya hali ya juu, ili iweze kurudi kwenye hadhi yake.
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  kimekuwa kichaka cha mafisadi na wakurugenzi kugaiana ten percent na wahindi
   
 11. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nadhani tatizo ni mikataba kuandikwa kidhungu!!
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Okeee... kwa hiyo itaitwa Serena Royal Palm... Duuuush
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,101
  Likes Received: 4,057
  Trophy Points: 280
  hahah na ule mradi wa Mövenpick kule Arusha umeishia wapi?
   
 14. mujydebubyz

  mujydebubyz Member

  #14
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwanini kila eneo watanzania tunakosoa tu? ni swali halihusiani na hii mada
   
 15. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jambo kama hili linafanyika na serikali inajua, cha kushangaza sirikali inakuwa upande wa wamiliki wa hotel, wafanyakazi wa tanzania wanakuwa kama watoto yatima!
  Pole sana
   
 16. Innovator

  Innovator Content Manager Staff Member

  #16
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wamesema wata-concentrate kwenye huo mradi wa Arusha naona bado uko under construction
   
 17. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Yale yale ya samaki wa Fukushima, watanzania tuamke rasilimali za nchi yetu zinachakachuliwa hivi hivi mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
   
 18. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi, ule mchezo wa mahoteli ya Tanzania kubadili majina unaendelea kama ilivyo ada. Baada ya Kempinski sasa kwa mara nyingine ni Movenpick. Kutokana na mazungumzo binafsi na mmoja wa maafisa mauzo wa hoteli hiyo ni kwamba sasa itaitwa Serena Hotel baada ya kununuliwa na Aga Khan. Kwa maelezo yake ni kwamba kutokana na utaratibu wa Serena wa kupendelea kuajiri wafanyakazi wazawa, tayari baadhi ya Wakenya wameshatimkia kwao wakihofia vibarua vyao kupotea.
   
 19. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkulu wa magogoni this time wamempa nini, suti ama kanzu? Maana mwezi wote wa Ramdhani alikuwa anabadilisha kama nani hii... That wahi hata hiyo movenpck itabadilishwa sana , walishamfahamu udhaifu wake.
   
 20. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,383
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Your Highness Mtukufu Agha Khan naomba this time umnunulie prezidaa viatu na soksi. Tayari suti anayo! Usisahau kumnunulia na leso pamoja na mafuta ya kujipaka
   
Loading...