Hebu tupe Source ya habari zako ili tujue tuanzie wapi kuweka mikakati ya ku challenge hiyo idea. Au una wasiwasi mizengwe inawekwa kwa vile Arumeru mashariki visima vya maji viemeanza kuchimbwa na Nasari pamoja na Sabodo?Binafsi huwa sipendi mambo ya kuitukana serikali na wanasiasa lakini katika hali ya uchumi ilivyosasa kuna mpango kambambe ushapitishwa na HARUNA MASEBU na wenzake kuwa kila aliyechimba kisima cha maji nyumbani kwake atatozwa fees
This is unfair na nadhani its about time tukaanzisha petition online, facebook na kufanya kampeni za kimataifa kulipinga hili kwa nguvu zote.
Hwa watu juzi wamespend zaidi ya bilioni 90 kwenye sherehe za uhuru leo wanataka kuwanyanyasa wananchi wa kipato cha chini kunywa maji
Pia ninategemea waziri kivuli na viongozi wa upinzani kulibebea bango hili to the end.
Binafsi huwa sipendi mambo ya kuitukana serikali na wanasiasa lakini katika hali ya uchumi ilivyosasa kuna mpango kambambe ushapitishwa na HARUNA MASEBU na wenzake kuwa kila aliyechimba kisima cha maji nyumbani kwake atatozwa fees
This is unfair na nadhani its about time tukaanzisha petition online, facebook na kufanya kampeni za kimataifa kulipinga hili kwa nguvu zote.
Hwa watu juzi wamespend zaidi ya bilioni 90 kwenye sherehe za uhuru leo wanataka kuwanyanyasa wananchi wa kipato cha chini kunywa maji
Pia ninategemea waziri kivuli na viongozi wa upinzani kulibebea bango hili to the end.
Jamaa yangu wa AUWASA aliniambia kodi ya kisima ni elfu 30 kwa mwaka.Wambieni waishie huko huko DAWASCO wasifike AUWASA.
Yeah, nilisikia kuna kitu kinaitwa water right. Wadau inabidi wajielimishe kuhusu hili kabla ya kulipuka tu.Acheni UPUUZI wenu, Mnaelekea kwenye malipo ya TV zenu hamsemi, hili la maji mnapiga kelele: kumbuka kulipia maji ni lazima. Soma sheria ya matumizi ya maji ya Mwaaka 2002. Na sio hao hata wale wanaomwagia MCHICHA kule msimbazi nao wanatakiwa kulipa ila tu kwa sababu ya ubutu wa sheria zetu ndio maana tumewaacha free.
Yeah, nilisikia kuna kitu kinaitwa water right. Wadau inabidi wajielimishe kuhusu hili kabla ya kulipuka tu.
Hifadhi ya maji ardhini inashabihiana na madini, huezi tu ukavuna bila utaratibu..kisayansi ilitakiwa mikondo yote ya hifadhi ya maji ardhini itathminiwe na ijulikane visima au maji kiasi gani yanaruhusiwa kuvutwa ktk eneo fulani kukizingatiwa na ile inayoitwa groundwater recharge. Hili halikwepeki,.. naeza sema safe way ya sasa ni kuvuna maji ya mvua, watu wakivuna haya maji hata street runoff zitapungua (or at least peak runoff) na kusave pesa ya ukarabati wa miundombinu ikiwemo barabara.
Soma tena nilichoandika halafu unambie hujaelewa wapi.Point yako nini hapo???? Huwezi kuipa hoja uzito kwa kuleta sheria na vocabulary za tasnia husika banaaa
So ukiwalipisha watu hiyo ground water recharge ndo inakuwa ballanced kwa pesa itayokusanywa au????
Au ndo yatanunuliwa kutoka Kenya na kuja kumwagwa Tanzania for re-saturation kwa kutumia hayo makusanyo????
Kama hoja inalenga kwenye "tragedy of the commons" then solution yake haiwezi kuwa any sort of charging system mkuu
...nasubiri aje mtu hapa kwangu ...Hata TV yangu ikitumika kuniletea habari hiyo ntaichukulia hatua stahiki. Ebo!!
Yaani ushindwe kuniletea maji, nihangaike kivyangu, halafu eti nini?