Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,116
- 8,621
Hamna alikuja kilingeni nikamsafisha nyota😂Mwaka huu nilimfungulia baraka
naomba apointimenti 😀😀 kuna mtu namtakaHamna alikuja kilingeni nikamsafisha nyota😂
Nilipata TIEUshapata notes nzur za advanced chemistry?
Baraka zipi? Sijaona kwenye acc yangu chochote!Mwaka huu nilimfungulia baraka
Nakumbuka siku ile nilikimbia uzi sijui ulikuwa unaelezea mambo ya laana ukatuma vigagula kama vyote aisee mbona nilikimbiaHamna alikuja kilingeni nikamsafisha nyota😂
Kumbe denti tena secondary 😭😭?!Ushapata notes nzur za advanced chemistry?
Nina 300000 cash walai we unapiga Jack Daniel ngapiNa una shingqpi kwanza? Leo serena kuna old school Unaweza ukanifaa leo!
Kila zama na zama zakeHawa jamaa wanatuharibia sana, huyu binti sasa hashikiki tena, hatumpati tena sisi wazee wa hovyo 😅
Mimi bado dent bana napiga ile juice ya BufeeKutoka out na asiyepiga vyombo halafu yeye ndo mlipa bill hata hainogi🤗🤗🤗🤗
Imeisha iyo.. Tena na bei nitakufanyia ile ya discount halafu ya promotion😂💪🏿🔥naomba apointimenti 😀😀 kuna mtu namtaka
Hahahaha😂😂😂Hawa jamaa wanatuharibia sana, huyu binti sasa hashikiki tena, hatumpati tena sisi wazee wa hovyo 😅
Sasa dent unataka kujilipua kustarehesha kwa hela za kuotea?Mimi bado dent bana napiga ile juice ya Bufee