Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Awali ya yote nimpongeze Trump kwa msimamo wake dhidi ya wageni yaani wale wote walioingia nchini Marekani kama wahamiaji wakitokea nchi nyingine, huku wengine wakiwa na Lengo LA kutafuta maisha mfano Nyani Ngabu.
Mtakumbuka kuwa Trump ametishia Mara kadhaa kuzuia wageni kuingia marekani kutoka nchi mbalimbali au kuwafukuza wageni wanaoishi nchini humor ili warudi kwenye nchi zao.
Katika hali hii, diaspora wengi wanaoishi nchini humo ambao kwa muda mwingi wamekuwa chanzo cha kuzikejeli au kuzisema vibaya serikali za nchi walizotoka, wameanza kubalika kwani mpaka sasa ni Mange Kimambi tu amebaki kuikosoa Serikali yetu ila wengine wore wamefyata mkia akiwemo Nyani Ngabu. Pongezi sana kwa trump.
Nini sababu?
Wengi hawaijui kesho yao chini ya uongozi Wa Trump. Anaweza akaamka anasema wakimbizi hawa warudishwe nchi walizotoka Mara Moja, na itakuwa vipi kwa wale waliokuwa wakiikosoa seriakali yetu pendwa kwa kujiona tu kuwa wako mbali na mkono Wa serikali yetu?
Safi sana Trump endelea kukaza ili hawa wakimbizi wawe na adabu kwa nchi zao walizotoka maana wanajua kuwa SAA na Sikh wasiyoidhani wanaweza kukabidhiwa kwenye nchini kwetu na sisi tutawahifadhi mahali salama.