Sera Za CUF: Uliberali, Utawala wa Sheria, Elimu Bure | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sera Za CUF: Uliberali, Utawala wa Sheria, Elimu Bure

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bagamoyo, Oct 15, 2010.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,535
  Likes Received: 2,116
  Trophy Points: 280
  • Uliberali ni nini
  • Serikali Ya Umoja wa Kitaifa
  • Asilimia 19 ya bajeti kuhudumu Elimu Bure kwa wote 2010 na kupanda mpaka asilimia 25 mwaka 2015
  • Kipaumbele ni Elimu bora ya bure.
  • Katiba ya Jamhuri ya Tanzania ya Mwaka 1977 kufumuliwa
  • Maseneta kupitishwa na bunge
  • CUF na CHADEMA Elimu Bure Inawezekana, CCM sera yake inatamka haiwezekani
  • Coalition Government (serikali Ya umoja) Kipaumbele ni maslahi ya Taifa mbele na siyo masilahi ya mgombea au chama
  • Utawala Bora ni kushirikisha Watanzania wote yaani Viongozi wa kuchaguliwa na wakuteuliwa (baada ya kupitishwa na Bunge)
  Joram Kasangi :Naibu Katibu Mkuu CUF akimwaga sera

  Hisani Ya Tangibovu wa YOUTUBE
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mkuu huyu anaitwa Joram Bashange kwa masahihisho
   
 3. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Junius \\vp mbona Donge hamjataka kufanya mkutano ?

  halafu mnazua kuwa wakuu wadonge wamewachochea msifanye mkutano ?


  mna mambo nyie
   
Loading...