Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 44
Nimesoma kauli ya Mwenyekiti wetu Bwana Mbowe hapa:http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/6/9/habari2.php. Jamani wanaCUF humu, mna maoni gani?
Halafu nimeona kwenye TV NCCR wametangaza kuunga mkono kura za maoni Zanzibar, ni kauli rasmi ya chama au ni maoni tu ya wale mamluki wa unguja?
Asha
Halafu nimeona kwenye TV NCCR wametangaza kuunga mkono kura za maoni Zanzibar, ni kauli rasmi ya chama au ni maoni tu ya wale mamluki wa unguja?
Asha