meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
kuna tetesi kuwa wizara ya afya na kamati ya bunge ya huduma za jamii ziko chini ya shinikizo kubwa la kutakiwa kupeleka mswada washeria utakaoruhusu utoaji wa mimba yaani abortion.
Ngo moja inayojihusisha na afya ya uzazi inasemekana kuwa nyuma ya shinikizo hili ikitetea kwa kusema utoaji mimba usio halali unafanyika kwa wingi nchini tanzania hivyo wakati umefika kwa kuruhusu utoaji mimba kihalali.
Kazi kwetu wanajf na watanzania kwa ujumla,,,je msimamo wetu ni upi?