Sera ya kupunguza uzito iliyotumika Mexico

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,645
2,000
Mwaka 2013 Mexico ilitajwa na Umoja wa Mataifa kuwa na watu 32.8% ambao wamezidi uzito. Ili kudhibiti hilo serikali iliweka kodi kubwa kwenye vinywaji vyenye sukari.

Katika hatua nyingine waliweka mashine zinazohesabu kiasi cha kuchutama na kuinuka ‘Squats’ ambapo waliweka mtu akipiga Squats 10 basi anapata tiketi ya bure ya kusafiri kwa treni ndani ya mji.

Mexico walikuwa tofauti na Urusi ambako pia kuna watu wengi wenye uzito uliopitiliza ambako huku kuitaka mtu apige squats 30 ili kupata tiketi ya bure.

Kwa kipindi hiko nchini Mexico usafiri ulikuwa 5 pesos sawa na Takriban Tsh 600. Pesa ilionesha kuwa na uwezo mkubwa wa kupunguza uzito wa watu.

1614510108799.png

1614510158678.png
 

DUMU

JF-Expert Member
Sep 23, 2019
283
500
Jambo la kheri ndugu yangu watuletee na hapa bongo ili tuwe na miili ya wastani kama wachina
 

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,783
2,000
Kwamba hzo 10 reps ndo utakua slim ama, kumbe nao hawana akili hahahahah.

Take it easy.
 

Abby Newton

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
1,168
2,000
Kwamba hzo 10 reps ndo utakua slim ama...kumbe nao hawana akil....hahahahah

Take it easy.
Tanzania unene ni sifa. Fuatilia kwenye vikao, harusini au misibani wanaoheshimika na kusikilizwa ni vibonge. Kwao unene na kitambi ni ishara ya kuwa na pesa na ku-win maisha. Hata ukiwa unatembea barabarani ukiwa mnene kila mtu anakupisha kwa heshima. Sijui hii nadharia imetoka wapi!
 

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
6,050
2,000
Tanzania unene ni sifa. Fuatilia kwenye vikao, harusini au misibani wanaoheshimika na kusikilizwa ni vibonge. Kwao unene na kitambi ni ishara ya kuwa na pesa na ku-win maisha. Hata ukiwa unatembea barabarani ukiwa mnene kila mtu anakupisha kwa heshima. Sijui hii nadharia imetoka wapi!
Mimi ndio maana sitaki kukonda,nikiwa mnene na kitambi kila nipitapo napewa salamu za heshima"heshima yako kiongozi".
Ukiwa kibonge hata kama hauna gari unaonekana umeamua kupaki ili kufanya mazoezi.
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,697
2,000
Kama nikiacha kunywa soda na kuwa na kula vyakula vya wanga napungua kweli?
Unapungua....chakula cha wanga kula kwa wastani.....katika kupungua mchawi ni winginwa chakula na aina ya chakula, mazoezi yana suppliment tuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom