First of all, I think serikali hapa inataka kukurupuka kufanya jambo ambalo haina uwezo wa kuli-implement vizuri. And I don't think huyu Ms Blandina Nyoni knows what she is talking about? I mean, waulize nchi zilizoendelea kama vile Uingereza na Marekani watakueleza ilivyo ghari kutoa huduma za bure kwa wazee. You know magonjwa makubwa yanayowasumbua wazee kama vile Diabetes, Parkinson, Cancer, Damentia, na magonjwa mabalimbali ya moyo mostly yanahitaji sustainable long-term care and advanced modern medicines which is very, very expensive kwa nchi masikini kama Tanzania kumudu!
Jeez, bado kwanza hatujatatua/solve basic problems kama vile uhaba mkubwa wa wauguzi, madawa, na vitendea kazi vya kutosha katika mahopitali na kliniki zetu,lakini tunataka tu ku-adopt mfumo wa nchi zlizoendelea ili nasi tusifiwe kuwa tumeendelea bila kwanza kukaa na kutafakari kwa undani jinsi tutakavyofanikisha hilo zoezi.
Binafsi, ningeishauri serikali, instead, itumie gharama na muda mwingi kuhudumia waototo na akina mama wajawazito kwa kutibu magonjwa/matatizo yanayoweza kuzuilika kwa njia rahisi huku ikiwekeza katika kuielimisha jamii kuhusu usafi binafsi na kanuni za msingi zinazoweza kuzuia magonjwa (kunawa mikono, kuchemsha maji ya kunywa, na kufanya mazoezi). Tukumbuke: kinga ni bora kuliko kutibu.
I mean, sina kinyongo na wazee, lakini at least wao tayari walishapata muda wa kuishi na kufaidi mambo ya dunia hii. Vipi kuhusu watoto na akina mama wajawazito ambao wanakufa in a large number kwa kukosa huduma za msingi za kiafya? I think hao ndo' ambao serikali inapaswa kuwasaidia zaidi (kuwapa kipaumbele zaidi).
You are welcome!