Sera Mbadala: Chadema yatikisa Mbeya

Sera Mbadala: Chadema yatikisa Mbeya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,422
Reaction score
271,899
Habari ndio hiyo wakuu.

Instagram media - Bpd1XQyAaHn.jpg

UPDATES :
....................
Kongamano la - SERAMBADALA  jijini Mbeya linaendelea muda huu ... - SiasazaMars.jpg

Subpost 1 - Kongamano la - SeraMbadala  linaendelea jijini mbeya Muda huu..jpg

FB_IMG_1540815368171.jpg

Subpost 1 - - seraMbadaraUpdate Tumewapokea  Sera ya chadema yawavutia wanaccm wa.jpg

Kongamano la Chadema kuhusu Sera limefanyika leo jijini Mbeya ambapo limeongozwa.jpg

Mungu ibariki Chadema
 
Kwa jiji zima kama la mbeya huwezi kufanyia kongamano katika kiroyal Kama tughimbe ni kidogo Sana japo naishi nyumba yakupanga ,kwa Mbalizi ni kweli inahadhi yake lakini ni padogo Sana angalau lingefanyika eneo Kama uwanja wa mahubiri ingekua ni nafasi kubwa kwa wananchi kuhudhuria kongamano Hilo mtawanyima nafasi na haki ya kimsingi kuwaunga mkono kwenye juhudi hizi
Naomba kuwasilisha
 
royal tughimbe ya mafyat itakua....pale pana ukubwa fulan
 
Viwonder vya chadema!,badala ya kubuni miradi ya kuwaongezea mapato yakujiendesha na kukarabati vyoo vya ufipa wamekalia majungu na mikutano ya ajabuajabu aaaaghrrrrrrrrrrrh!
 
Back
Top Bottom