Nilikuwa k.nondoni muslim, ni jirani na ubalozi wa marekani uliolipuliwa, nilihisi kama vile nyumba nilokuwemo imegungwa na gari kubwa! Nilishtuka sana! Nilipotoka nje nikaona moshi mkubwa na vumbi jingi pande za ubalozini, magari mengi yalokuwa kwenye foleni kwenye mataa ya k.nondoni kuelekea mjini yalivunjika vioo"