Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,471
Edson ukorofi unaouona kwa huyu dada, mimi naona ni kitu kingine tofauti. She is independent lady ambaye anaweza kutunza watoto wake!
The fact kwamba hajaelezea sababu za kushindana, namkubali zaidi kuwa she knows what she wants!
Shida ya wanaume kama ninyi mnapenda wanawake ambao hata mkiwaabuse wataendelea kukung'ang'ania kwakuwa umemkaririsha kuwa bila wewe hawezi ishi!
Narudia sijaona ukorofi wake hata kiduchu, ametaka ushauri very specific kuwa when is right to start seing someone else. Pole najua hupendi guts zake na wengine kama yeye!

Last edited by a moderator: