Sent from my tablet @ .......... ?

bishoke

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2010
Posts
274
Reaction score
52
Great thinkers naombeni msaada ni kwa jinsi gani naweza kupata meseji hii 'sent from my blackberry/tablet/galaxy@airtel/vodacom etc kwenye tablet yangu.
Nina tumia tablet ya lenovo na mtandao wa airtel na ningependa kwenye emails zangu niingize hiyo meseji, msaada naweza kufanyaje ili kupata hiyo meseji.

Asanteni sana kwa msaada wenu.
 
ukimaliza kuandika msg au post yako unaandika kwa chini SENT FROM MY TABLET..........


Sent from my Computer
 
Nenda store/jukwaa la teknolojia utakuta
application kwaajili ya kufaa unachotumia.
 
Inakusaidia nini kuwa na hayo maandishi kwa chini? Au ndio swaga tu??

Sent from my Huawei phone ya laki 9
 

Halafu ndo iweje sasa? Ukishawaringishia watu kuwa unamiliki tablet?
 
Hahahaha!!Kijanaaa

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
Mkuu hapo juu ya jukwaa hili kuna apps kwa ajili ya blackberry na android kama sikosei, kama unavifaa vinavyotumia os hizo unaweza kuzipakua na kufurahi kama unavyotaka.

Sent from my mchina feki using JamiiForums
 


Wewe kweli Bushoke, acha ushamba sasa itakusaidia nini baada ya hayo maandishi kutokea? Cha msingi jali msg kufika tuu.
 
Great thinkers naombeni msaada ni kwa jinsi gani naweza kupata meseji hii
'sent from my blackberry/tablet/galaxy@airtel/vodacom etc kwenye tablet yangu.
naweza kufanyaje ili kupata hiyo meseji.
bishoke huenda kitu unayotaka ni Signature ili iwe inaonekana kila unapotuma post zako
Unachotakiwa ingia kwenye Desktop ya simu yako au Desktop ya computer yoyote hata Cafe na ufungue Account yako
Juu kabisa baada ya Neno Welcome na jina lako la bishoke na Notifications inafuatia neno SETTINGS fungua (click)

My Settings


  • My Profile
    • Edit Profile
    • Edit Profile Picture
    • Edit avartar
    • Edit Signature
    • Profile Privacy
Fungua Edit Signature na uandike sent from my blackberry/tablet/galaxy@airtel/vodacom etc
utaambiwa Preview mwishowe endelea mwenyewe km ni Save click
Sijui ndio hii kitu ulitaka au kingine
Chao'
 
Kama kwenye facebook ni easy

sent from my philips savy using jamiiforums
 
Hahahaha ni PM

Sent by samsung galaxy s 4 using jamiiforums
 
msaidieni mwenzenu basi. tatizo la wabongo unavotaka kuishi wewe unataka na mwenzako aishi hivyo unachopenda wewe unataka na wenZio wakipende.

mkuu ulieuliza swali kuna app inaitwa tapatalk kwa ajili ya kuvisit vbulletin forums kama jamiforums. unaweza download original version kutoka website yao tapatalk.com au ukadownnload custom version ilioekwa jamiiforums inapatikana juuu kwenye sticky thread
 
Inakusaidia nini kuwa na hayo maandishi kwa chini? Au ndio swaga tu??

Sent from my Huawei phone ya laki 9
Asante sana hili lako nalo jibu pia. Usijali mkuu nilitaka msaada kwa walio tayari tu na baadhi yao wana endelea kunitoa ujinga.
 
Halafu ndo iweje sasa? Ukishawaringishia watu kuwa unamiliki tablet?
Asante kwa mchango wako mzuri. Huo ni mtazamo wako tu katika hili japokuwa hujajibu swala langu.
 
Shukrani sana Ukwaju kwa maelekezo yako; hii ndiyo hasa niliyohitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…