Sensa ya watu na mipango ya maendeleo

Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,269
4,569
Taarifa ya Mh. Pinda Waziri Mkuu wa Tanzania kuhusu tatizo la mgawo wa umeme imenifanya niamini kuwa sensa ya watu Tanzania ni kupoteza tu rasilimali za nchi kwani matokeo yake hayatumiki kupanga mipango ya maendeleo ya kati na ya muda mrefu

Jisomee mwenyewe: Source Tanzania Daima

"
Mgao wa Umeme

Alisema kwa mujibu wa Waziri wa Nishati na Madini imebainika hivi sasa Tanzania inakabiliwa na uchavu na uduni wa miuondombinu katika vyanzo vya umeme nchini.
Alisema kukosekana kwa maji ya uhakika kumepelekea kutokea mgao wa mara kwa mara nchini hali ambayo inarudisha nyuma maendeleo ya taifa na watu wake.
“Utafiti unaonyesha kuwa matumizi ya umeme nchini yameongezeka kuliko uwezo wetu lakini serikali imekuwa ikichukua hatua mbalimbali ili kukabiliana na tatizo hili ili limalizike kabisa,” alisema Pinda. "


 
Back
Top Bottom