Sensa: Shading zafanyika mtaani

Msambaa mkweli

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
339
Reaction score
439
Mtaani kwetu, kunavijana wanne wa shule za msingi(Artists), wanapinga dili la shading karatasi za sensa, moja kwa Tsh 100. Haswa kwa wale mateacher wa vivu, madogo wanakula pesa.

Makarani wanagombea, washikaji wapo bise kinoma. Walipewa dili na karani mmoja kisha dogo wanaendelea wenyewe. Hapo vipi wadau?
 
Samahani, Hebu fafanua zaidi kuhusu hii 'Shading'. Wanafanya nini hasa hasa na inahusiana vipi na hao makarani wavivu, kwa maana kwamba wanapaswa kufanya nini na kwa uvivu wao wanawalipa hao vijana shs mia mia ili wawafanyie nini??
 
Umenikumbusha mchezo wa kuigiza(zamani kidogo) wa Ngoswe! Hizo karatasi zitaishia jalalani.
 
Samahani, Hebu fafanua zaidi kuhusu hii 'Shading'. Wanafanya nini hasa hasa na inahusiana vipi na hao makarani wavivu, kwa maana kwamba wanapaswa kufanya nini na kwa uvivu wao wanawalipa hao vijana shs mia mia ili wawafanyie nini??

Inavyoonekana makarani, wamepita kwenye kaya, na kunote majina tu bila kushade hukohuko, ila wameweka alama tu kama doti(.), then madogo fullkushade. Dodoso moja refu au fupi wanachukua 100, karani ndio anawapa mwenyewe. Make research on it.
 
ivi wewe una umri gani? watoto wa primary unawaita washikaji? thn mi cjaona shida kwan hata wakisiriba wala hawataekewa kitu,data zipo ktka code form,zimegereshwa tu
 
inavyoonekana makarani, wamepita kwenye kaya, na kunote majina tu bila kushade hukohuko, ila wameweka alama tu kama doti(.), then madogo fullkushade. Dodoso moja refu au fupi wanachukua 100, karani ndio anawapa mwenyewe. Make research on it.

na huwezi kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja, kushad ni kazi kubwa kuliko kuandikisha
 
hao watoto wanafanya mazoezi kwani naskia gvment yenu imesema mitihan ya primary utakuwa ni ya kushade...eri qanafunzi ni wengi,,?
 
Inavyoonekana makarani, wamepita kwenye kaya, na kunote majina tu bila kushade hukohuko, ila wameweka alama tu kama doti(.), then madogo fullkushade. Dodoso moja refu au fupi wanachukua 100, karani ndio anawapa mwenyewe. Make research on it.

Aaah,nimekupata,maana hata kwangu walipita wakachulua particulars zangu wakaishia.Anyway tuwaache wapige hela.
 
ivi wewe una umri gani? watoto wa primary unawaita washikaji? thn mi cjaona shida kwan hata wakisiriba wala hawataekewa kitu,data zipo ktka code form,zimegereshwa tu

Swala la muhimu hapa ni utunzaji wa siri, kumbuka makarani wameapa kutunza siri, upande wa juu kulia mwa dodoso "TUNZA SIRI" JE mantiki ya kiapo cha siri ipo wapi?
 
Sio siri hii sensa imefeli, mh, awamu ya nne hii!!!!!!!!!
 
Samahani, Hebu fafanua zaidi kuhusu hii 'Shading'. Wanafanya nini hasa hasa na inahusiana vipi na hao makarani wavivu, kwa maana kwamba wanapaswa kufanya nini na kwa uvivu wao wanawalipa hao vijana shs mia mia ili wawafanyie nini??
Kushade ni kupaka wino viduara vilivyo wazi katika OMR sheet ili kumatch na information uliyonayo katika sheet ya kawaida.

Hii inarahisisha katika kuprocess data zako kwa njia ya kompyuta, mfano kuhesabu viduara kwa kupitisha OMR sheet katika scanner maalum zinazosaidiwa na software za kusoma kunarahisisha uhesabu wa information yako kuliko kuhesabu manually. Mfano wa shading katika OMR sheet ni kama ionekanavyo picha hapa chini:

 
usichangae tukaletewa takwimu zisizo na ukweli
 
kwa kweli data za sensa sio za kutegemewa na kutumika kwa sababu mambo mengi hawayachukui, mfano walipokwenda baadhi ya maeneo walimuuliza mwenye kaya maswali yote yamuhusuyo,na wakati ndani ya nyumba kuna mke naye ana taarifa zake ambazo hawakuzitaka zaidi ya jina lake, na kuna watu wengine wanaojitegemea wakiwa na familia zao wamepanga nyumba ndogo ndogo humo humo ndani.

Hawa wahesabu sensa hawakujisumbua kabisa kujua taarifa zao zaidi ya idadi yao.

Je, kama wanataka idadi tu ya watu hapo sawa.ila kama idadi hii inaendana na kujua wategemezi ni wangapi wenye alemu fulani ni wangapi na mengineyo sidhani kama sensa wamejipanga vizuri na wahesabu sensa wanayaharibu sana maswali au kumodify ktk hali ambayo wanaacha lengo kuu.

nina wasiwasi na sensa hii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…