Mkuu hao makarani siyo wabunufu hivyo wamefanya kosa kusimamisha hiyo Treni badala yake wangewahesabu hao Abiria wakati treni ikiendelea na safari.Mbona mimi sasaiv nipo ndani ya ndege ya Emirates na naendelea kuwahesabu abiria huku ndege ikiendelea na safari? Na kwa taarifa yako sasaiv tunakaribia kutua uwanja wa Heathrow pale UK. Sensa safi sana yani nimepanda pipa hivhiv bila kutarajia![/QUOTE