Sensa 2012: Yanayojiri

atahesabiwa mlinzi siyo lazima uhesabiwe unaweza tu ukajiunga na sisi tuliogoma shosti.
 
Prof Lwaitama jana alifunguka kwenye TV ya SEBUKA na kusema haoni tatizo kuwa na kipengele cha dini! Nimejaribu kuangalia mtandaoni nimeona hata nchi kama UK kipengele hicho kipo sasa najiuliza kwanini sisi tusiwe na hiyo kitu? au sisi ni binadamu special? au kuna jambo linafichika nyuma ya hili jambo la kutoweka dini kwenye dodoso la sensa?

Click hapa chini angalia kipengele number 10.

https://www.census.ac.uk/Documents/CensusForms/2001_England_Household.pdf
 
Kwa hiyo kama UK wamehalalisha shoga, kuuleta hapa siyo tatizo?
Kila nchi ina misingi yake. Waingereza wameweka hicho kigezo cha dini kwa malengo yao wenyewe.
 
Kwa hiyo kama UK wamehalalisha shoga, kuuleta hapa siyo tatizo?
Kila nchi ina misingi yake. Waingereza wameweka hicho kigezo cha dini kwa malengo yao wenyewe.

Kwa hiyo Tanzania wameficha kuweka kipengele cha dini ili msichafue malengo yenu.
 
Nashukuru sana kwa mwenyezimungu, mataifa haya ya European Union, UK, USA, CANADA na JAPAN siyo mataifa ya Islamia Jamhuria otherwise tungenyanyaswa sana na lazima kungekuwa na kipengele ukitaka kuingia Marekani na kufanya kazi ni lazima uwe mwislamu ndio upewe Viza.

Kweli Mungu amesoma kabla ya wasomi wote, Uingereza Taifa la kikristo ambalo Anglicana ndio dini yao rasmi lakini Waislamu wana haki ya kununuwa majengo na kuyageuza misikiti haijarishi hata kama lilikuwa na Bar au kanisa, kumbe wao akili yao kwamba eti ndio wanauwa Ukristo!! huu ni zaidi ya uchizi.
 
Jamani wadau hebu tushirikiane kufikiri katika hili. Mimi ni miongoni mwa makarani wa sensa hapa Dodoma kata ya K/NDENGE, jana nilipewa madodoso 40 na nikamaliza yote, leo nampigia simu msimamizi ili aniletee madodoso mengine naambiwa niende ofisi ya kata nikachuke, kufika hapo ofisini nakutana na vioja eti, ofisi imefungwa na mwenye ufunguo hayupo, hapo nikakutana na makarani wenzangu wenye tatizo kama langu tukaamua kupiga simu kwa mratibu wa sensa Dodoma mjini ambae anaitwa CHE MPONDA anajibu kwamba, madodoso ndiyo yapo GAIRO yanaletwa kwahiyo tusubiri.

Nikajaribu kufuatilia kwa makarani wenzangu kata mbalimbali naambiwa yaani zoezi ni la kisiasa zaidi kwani maandalizi yanaoneka ni ya zimamoto bz hata baadhi ya vifaa vingine kama mabox ya kuhifadhia,sare,penseli 2-HB vichongeo nk havitoshi, halikadharika ramani za EA hazitoshi hivyo nyingine ikabidi zichorwe kwa mkono.

Wadau plz tupieni maoni yenu hapa.
 
Imagine Iran ingekuwa powerful kama USA. Nadhani dunia nzima tungekuwa tunaangalia Kibra...
 
Kwa nchi dhalgmu kama hii ni bora vita kwani hata hizo nchi za ulaya zimegana hadi walipofanikiwa kuondoa unyonyaji
 
Jamani wadau hebu tushirikiane kufikiri katika hili. Mimi ni miongoni mwa makarani wa sensa hapa Dodoma kata ya K/NDENGE, jana nilipewa madodoso 40 na nikamaliza yote,....
Mpaka Kikwete anaondoka 2015, tutaona mengi.
 
Mbaramwezi inaonekana wewe ni mgeni nchi hii, hapo cha ajabu kitu gani? uchaguzi huwa unafanyika kila baada ya miaka 5, lakini siku ya uchaguzi utasikia vituo vimechelewa kufunguliwa na sehemu nyingine masanduku hayajafika na sehemu nyingine makaratasi ya kura za wabunge yamesahauliwa.

Au umesahau Saidi Arfi mbunge wa Mpanda ( Chadema ) ilibidi jimbo lake lirudiwe uchaguzi wa Mbunge peke yake Tanzania nzima kwa dosari hizi? chini ya CCM usitegemee ufanisi wa jambo lolote, lakini kuhesabiwa ni lazima.
 
Last edited by a moderator:
Jamani wadau hebu tushirikiane kufikiri katika hili. Mimi ni miongoni mwa makarani wa sensa hapa Dodoma kata ya K/NDENGE, jana nilipewa madodoso 40 na nikamaliza yote,......


kwani ile ela mliopewa imeisha..c mtumie hyo hela mtoe copy hzo dodoso..
Si tunasubiri matokeo na mkumbuke kuwa mmekula kipapo..
 
Kwa hiyo Tanzania wameficha kuweka kipengele cha dini ili msichafue malengo yenu.

Una watoto wangapi? Kama chini ya 6 usichangie kwa kua umekiuka ule mkakati wa kuzaliana ili kuijaza Tanzania kua 2/3 Muslims 4 OIC purposes. Changia ukiwa na watoto kama 18 au 22 hivi. Kweli hamnazo............!
 
[h=6]Jana wameonesha watu wa KWADELO wanalalamika maji wanayotumia wana changia na wanyama tena kuyapata inakubidi uamke saa 8 ya usiku ndo upate sasa sa nikiwa najiuliza hii ni miaka 50 toka nchi hii ipate uhuru na watu wa kwadelo mara zote wamekuwa wakihesabiwa je hilo la kukosekana kwa maji safi na salama linatoka wapi ikiwa serikali yao sikivu iliwahesabu na kuwapangia maendelweo? wakina mama walikuwa wana lalamiki wana pata mimba wasizotarajia kwa kujikuta wakibakwa, watoto wakike ndo usiseme mimba kila kukicha kisa maji SOURCE ITV jana. JE SENSA INA MANUFAA WILAYA YA KONDOA???[/h]
 


Hawa ni wao ss ni TANZANIA
 
Kwa hiyo kama UK wamehalalisha shoga, kuuleta hapa siyo tatizo?
Kila nchi ina misingi yake. Waingereza wameweka hicho kigezo cha dini kwa malengo yao wenyewe.

Una maana gani unaposema kila nchi ina misingi yake? je sensa ya mwanzo baada ya uhuru mbona kipengele cha dini kilikuwepo? tulifata msingi wa nani? na kwanini nyerere alikitoa kipengele hicho mwaka 77? au ndio ilikuwa kwa malengo maalum kama ulivyosema?
 
Imagine Iran ingekuwa powerful kama USA. Nadhani dunia nzima tungekuwa tunaangalia Kibra...

Muache Mungu aitwe Mungu, UK Waislamu wanapewa haki ya kuabudu ikiwemo kubadili matumizi majengo wanayonunuwa, wenye akili fupi wanadhani eti ndio wanaungamiza Ukristo! huu ni upuuzi to the maximum, ndio maana sishangai Wakristo kubanwa na kukosa haki ya kuabudu kwenye nchi za kiislamu, na hiyo ndio ajenda iliyojificha kwenye nchii & we will not allow or tololence this.
 
Kipengele hicho serikali ya UK kinawasaidia kujuwa kasi ya magaidi wanaoingia na kuishi UK ili kuandaa strategy na kudhibiti magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…