Senior programmers, software engineers, developers, hizi system zimetengenezwaje?

Zuck didnt come to Africa just to learn how mobile money works, thats rediculous. Zuck was here to promote his internet.org initiative which gives free access to sites he chooses and destroys net neutrality.
Since internet.org has been banned in India this leaves Africa as the last place where it has a chance.
 
Heshima yako we mtu wa Gatundu, we mkali kweli kweli! Ushauri kidogo: jaribu kujikumbusha kidogo kazi za TCP/IP Stack - alafu uni-pm kuna kitu nataka tuelewane kwanza.

Nimekufuata PM, ila ingekua bora tukayajadili humu ili tuelimishane sote kwa manufaa ya wanaJF. Haya mambo hayana ya mkali wala nini, ni kujifunza kila siku kadiri unavyofanya kazi na kukumbana na changamoto nyingi. Haya mengi kama TCP/IP stack yanafunzwa vyuoni, ila wengi tunasoma ili tupite mitihani lakini hatukusudii kukumbana nayo kwenye maisha.

Sasa ngoma inakua tofauti pale unakumbana na mradi ambao inabidi uelewe mfumo vizuri kwa ndani na nje, unasoma na kufanyia utafiti kabisa.
 
Haha thats true unakutana ns iso8583 halafu unaambiwa lazima upitie TCP socket huku wewe umezoea kukutana na HTTP based APIs lazima usome zaidi hata ya ulivyokuwa shuleni...umenikumbusha project yangu ya kwanza kukutana na haya mambo🙂
 
Nimekufuata PM, ila ingekua bora tukayajadili humu ili tuelimishane sote kwa manufaa ya wanaJF. Haya mambo hayana ya mkali wala nini, ni kujifunza kila siku kadiri unavyofanya kazi na kukumbana na changamoto nyingi. Haya mengi kama TCP/IP stack yanafunzwa vyuoni, ila wengi tunasoma ili tupite mitihani lakini hatukusudii kukumbana nayo kwenye maisha.

Sasa ngoma inakua tofauti pale unakumbana na mradi ambao inabidi uelewe mfumo vizuri kwa ndani na nje, unasoma na kufanyia utafiti kabisa.

Nimekuelewa sana mkuu, mimi nilitaka tuwekane sawa kwanza tukiwa wawili baadae tutahanika adhalani what matters, mambo mengi mtu unayo jifunza vyuo vikuu vinakupa mwanga kitu gani kinaendelea under the hood hivyo ukipata changa moto unajua where to zero in - hasa hasa kama umepata bahati ya kusoma vyuo vikuu vya wenzetu ambao wakufunzi wao webgi wao wana uzoefu kutoka viwandani wanajua jinsi ya ku simulate faults ili upate hand on experience ya changa moto ambazo utakumbana nazo kwenye carrier yako siku za usoni - kumbuka systems zote zunazotumia teknolojia ya kiDigitali ni highly predictable uwezi kulinganisha na system za analogue ambazo zina ugumu wake katika masuala ya fault diagnosis, mwisho wa siku wenzetu wa Dunia ya kwanza wana msemo usemao "FIKIRI KWANZA IS THE MOST IMPORTANT THING" na hicho hakuna mtu anaweza kukufunfisha.

Sasa linapokuja suala la ku code application it doesn't matter unatumia code/language hipi, hizo zinakusaidia wewe kama binadamu lakini komputa haielewi chochote kuhusu lugha/code zunazo tumiwa na binadamu - ili komputa ielewe unachotaka/kisema ili ikifanyie kazi inabidi itumike compiler kutafisiri lugha za binadamu kwenda lugha ya namba za hexadecimal finally to binary basi hapo program counter ndani ya processor ina take over either counting up au down kutegemea na design ya microprocessor inadecode program nzina line by line serially ndiyo maana Von Neuman machines zinaitwa serial processor kama kuna subroutine kwenye program na hizo hazikosekani basi stack pointer inakuwa invoked processing last in first out, ikimaliza masuala yaliyomo kwenye stack pointer inarudi kwenye counter ya main program na kuendelea na kazi kila kitu kipo kwenye binary format ndiyo maana uwezi kwenda kwenye checker board ya machine code ukakuta sujui C++/Python/rubie/Pascal/Ada/Java/VisualBasic/COBOL/Fortran(kama inatumika siku hizi) na lugha nyingine lukuki and what have you.

Hapa nazungumzia kinacho jili kwenye pc machines na laptops,likini linapo kuja suala la machine hizo kuzungumza zenyewe kwa zenyewe chumba kimoja, kwenye compus nk hapo una hiari ya kutumia protocols za nawasiliano unazotaka kutegemea operating system inatumia zipi kwenye masuala ya nawasiliano ndani ya nchi au nje - zamani kila kumpuni ilikuwa inatumia protocols zake katika nasula ya mawasiliano/network mfano: Novell Netware walitumia IPX/SPX, McIntosh-AppleTalk, IBM (SNA), Microsoft non-routable NetBIEU, Xerox- Banyan VINES NIC na wengine baadae wote wakakubaliani watumie TCP/IP.

Nimejaribu kueleza kwa kiasi change wengine wanaweza kudhani nimekwenda off point-ninacho taka kuonyesha hapa ni kwamba ni vizuri mtu kuelewa kiundani kinacho endelea nyuma ya pazia including addressing modes zinazo tumika kwenye microprocessor zinazo kuwa nanufactured na different vendors nikiangalia tu siftware najua manufacturer ni yupi hata bila ya kuangalia hardware/processor yenyewe.

Nisije nakaeleweka vibaya I don't underrate umuhimu wa system na application softwares katika ku run komputa lakini watu wengi naona kama vile wanataka kuwatisha tisha wengine eti husipo elewa mambo ya ku code sijui application zipi basi wewe unakosa mengi au ufahi vile - hiyo si kweli - anybody mwenye nia ya kijifunza akichukua kitabu chochote cha masuala haya anaweza kuandika apps zozote Duniani ndani ya wiki moja - what counts ni nia na kujua kinacho endelea under the hood. THANKS.
 
Zuck didnt come to Africa just to learn how mobile money works, thats rediculous. Zuck was here to promote his internet.org initiative which gives free access to sites he chooses and destroys net neutrality.
Since internet.org has been banned in India this leaves Africa as the last place where it has a chance.
how does he make money from internet.org?
 
Na kwa sasa kuna wataalam wanamalizia kutengeneza app ambayo hata ukitaka kutoa pesa kwenye simu yako inatoa. Yaani kunakuwa na kama kamlango hivi ukisha command pesa zinatoka hapo hapo ulipo kupitia kwenye simu yako. Unanunulia unachotaka kama zitabaki unarudisha tu. Tunakoenda yaan itakuwa hamna kubeba wallet.
Dec 2016 wana launch hiyo kitu.
 
Asante, umeiweka vizuri, ni jambo la busara kwa watalaam wa haya masuala kuwa na shauku ya kuelewa picha nzima ya jinsi madude yote haya hufanya kazi.
Yaani inakua vizuri kujua kila kinachotendeka pale unapoandika ujumbe wa email na kutuma hadi imfikie mlengwa. Mfumo wote mzima, hii itakufanya uweze kutambua mchango wa kila mhusika kwenye teknolojia yote na kuwaheshimu wote.

Mara nyingi vijana huona wakitumia vitendea kazi kama IDE na RAD kutengeneza apps na kuona zikifanya mambo makubwa kwa muda mfupi afu wanasahau kuna wadau wengi wanahangaika kurahisisha mambo ili yawe hivyo. Ni jambo la maana sana kutumia muda wako kama developer kujifunza au kuelewa nini kinachotendeka nyuma ya pazia. Haswa kufahamu layers zote za OSI, kuanzia ile ya physical hadi ufikie ya mwisho ya application.

Ni muhimu sana kweli, binafsi nimejikuta kwenye miradi ambayo inanilazimu kuchimba haya mambo kwa undani. Najikuta nasoma usiku wote na machana kutwa, huku mradi nimesubiriwa balaa.
 
He does not make any money from internet.org directly, but because you are using Facebook,Messenger etc they make money through advertisers on those services.

The biggest thing they get from internet.org is preventing other services from becoming popular, if facebook/messenger is free to access but you need to pay for data for snapchat/instagram this makes it very difficult for competitors to succeed.

This is what net neutrality is about and why Internet.org was banned in India.
 
i like it
Na kwa sasa kuna wataalam wanamalizia kutengeneza app ambayo hata ukitaka kutoa pesa kwenye simu yako inatoa. Yaani kunakuwa na kama kamlango hivi ukisha command pesa zinatoka hapo hapo ulipo kupitia kwenye simu yako. Unanunulia unachotaka kama zitabaki unarudisha tu. Tunakoenda yaan itakuwa hamna kubeba wallet.
Dec 2016 wana launch hiyo kitu.
i like it nahisi itakuwa inatumia 3d printing technologies
 
Asante, umeiweka vizuri, ni jambo la busara kwa watalaam wa haya masuala kuwa na shauku ya kuelewa picha nzima ya jinsi madude yote haya hufanya kazi.
Yaani inakua vizuri kujua kila kinachotendeka pale unapoandika ujumbe wa email na kutuma hadi imfikie mlengwa. Mfumo wote mzima, hii itakufanya uweze kutambua mchango wa kila mhusika kwenye teknolojia yote na kuwaheshimu wote.

Mara nyingi vijana huona wakitumia vitendea kazi kama IDE na RAD kutengeneza apps na kuona zikifanya mambo makubwa kwa muda mfupi afu wanasahau kuna wadau wengi wanahangaika kurahisisha mambo ili yawe hivyo. Ni jambo la maana sana kutumia muda wako kama developer kujifunza au kuelewa nini kinachotendeka nyuma ya pazia. Haswa kufahamu layers zote za OSI, kuanzia ile ya physical hadi ufikie ya mwisho ya application.

Ni muhimu sana kweli, binafsi nimejikuta kwenye miradi ambayo inanilazimu kuchimba haya mambo kwa undani. Najikuta nasoma usiku wote na machana kutwa, huku mradi nimesubiriwa balaa.
watu wengine wakikupa kazi halafu wakaona muda wote unachimba kabla ya kuanza project wanahisi labda hujui hiyo kazi uliyokabidhiwa ...hawajui kwamba kuchimba ndo nature ya kazi yenyewe
 
Cha msingi ni matokeo ya kazi ndani ya muda niliopewa (deadline). Na ndio maana watu wengi kabla wakukabidhi mradi wanakuuliza uwape taarifa za miradi mingine ulioifanya. Mimi hapa kwa maisha yangu, Google, stackoverflow na sites zingine huwa kama chakula cha kila siku.
Unakuta kila siku ni utafiti, wakati mwengine hata syntax za msingi nazisahau. Mara nyingi nategemea intellisense ya IDE na sijajutia hata siku moja, kwa sababu mwisho wa siku kupokeza mradi uliokamilika ndani ya muda niliotengewa ndio cha maana.

Mteja amekupa king'amuzi kama cha maxmalipo ili kiunge kwenye system yako, protocol yake imeandikwa na Mchina ambapo kingereza chenyewe magumashi. Sasa hapo utakosa kuchimba vipi. Usiku wote lazima uhangaike hadi uone data zinatiririka.....
 
young programmers check this link kama una passion you gonna rock the world
how to build the app like mpesa systems
 
Back
Top Bottom