CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Dr. Seng'ondo Mvungi, nimekusikia ukijinadi kuwa wewe ni ofisa wa mahakama, ukitaka kuonyesha ukomavu wa sheria. Kweli wewe ni mwanazuoni wa sheria, lakini naomba nikukumbushe kuwa Mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema, kuna baadhi ya hukumu zake zimetenguliwa na Appeal court of Tanzania. Hivyo na ugwiji wako unaweza ukatoa maamuzi yasiyo sahihi.