Sengerema mmmmh. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sengerema mmmmh.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wababa, Aug 26, 2011.

 1. W

  Wababa Senior Member

  #1
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepita leo wilayani sengerema mjini, nimeshtuka kweli kuona vikongwe ambao walistahili kukaa nyumbani na kutunzwa na familia zao, wakiwa stand kuu wakisubiri mabaasi ya abiria kwa kazi moja ya kuomba tuu, serikali iliangalie hili suala bhana, linatia aibu kweli.
   
Loading...