Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,559
- 12,275
Sawa mkuu mimi nilikuwa nafuatilia mipasho ya Putin aliposema McCain aliacha akili zote shimoni huko Vietnam huwa nacheka sana
Hivi Mkuu we ni dokta...?Mimi mwenyewe ni mmoja Kati ya hao vijana wa MUHAS na hamna kitu kama hicho ulichosema.
Anyways kwa kukusaidia.
Cancer ni aina ya tumor,
Tumors zipo aina mbili
1. Benign: hizi hazijasambaa kutoka sehemu zilipoanzia
2. Malignant: hizi ndizo zinaitwa cancers kwamba zimesambaa kutoka pale zilipoanzia
Sent using Jamii Forums mobile app
John McCain wakati wa vita ya vietnam na Usa alitekwa na wanajeshi wa kivietnam wakamuweka kwenye shimo refu mpaka alipokuja kuokolewa na wenzake akili zote akawa ameziacha shimoni(in putin voice)
Mimi mwenyewe ni mmoja Kati ya hao vijana wa MUHAS na hamna kitu kama hicho ulichosema.
Anyways kwa kukusaidia.
Cancer ni aina ya tumor,
Tumors zipo aina mbili
1. Benign: hizi hazijasambaa kutoka sehemu zilipoanzia
2. Malignant: hizi ndizo zinaitwa cancers kwamba zimesambaa kutoka pale zilipoanzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.Na kansa ya damu na ngozi pia ni aina ya tumor.?
Mkuu samahani Nina swali Moja, hivi nilikuwa najihisi Luna vitu vinatembea mwilini mpaka kichwani.Hapana.
Kuna kitu kinaitwa
Neoplasm: hii ni ile hali kwamba kunakuwa na cells ambazo zipo tofauti na zingine na huzaliana kwa kasi nje ya molecular control
Mara nyingi inaweza ikawa kama tumor(uvimbe) lakini si Mara zote, au tofauti kutegemea na aina ya tissue/organ iliyokuwa affected
Mfano skin cancer huweza kuwa kama uvimbe, huweza kuwa ulcerative,
Lung cancer huweza kuwa kama tumor
Malignant effusions, peritoneal carcinomatosis, blood dyscracias hizi huwa tofauti. Hizo cancerous cells huwa zipo katika medium yake damu, pleural fluid, ascitic fluid
Sent using Jamii Forums mobile app