Senene kuongezwa kwenye orodha ya vyakula vinavyotolewa kwenye ndege katika safari za kimataifa nchini Uganda.

kuna zile senene za kukausha kama tambi zina kaladha ka pilipili na chumvi kwa umbaliiiii, aiseee tam sana.

anayejua hizo namna wanavozipika ashushe maelekezo basi, tukazifaidi.
 
Back
Top Bottom