Senene waua mtu Kagera

Kuua mtu inawezekana,ila kuangusha miti na nguzo za umeme ni kachumbali inayopoteza mashiko ya taalifa nzima.
 
Kweli senene wamekufa sana bukoba ila ya kufa sijaisikia
 
inawezekana wakubwa kama chopa ilioanguka juzi tatizo mabwenga kwa kamba hawawezekani.
 

Chanzo cha taarifa tafadhali.
 
Dah wk ijayo cijui kama ntawakuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…