Mmmh,,,,,,,hiyo ya kuangusha miti ni fiksi aisee.
Katika hali isiyo ya kawaida,mtoto mmoja katika wilaya ya Karagwe amekufa baada ya wale wadudu watamu kwa wingi wao kumshambulia na kumziba pua na mdomo.Hali ilivyo kwa sasa,wadudu hawa wamekuwa wengi kupita pengine miaka yote iliyopita.Taarifa za kuaminika kutoka Bukoba mjini ni kwamba,kutokana wingi wa wadudu hawa,Tanesco mkoani humo,ililazimika kukata umeme kwa baadhi ya maeneo kwani kutokana na wingi wa wadudu hao,baadhi ya miti ya kawaida na ya umeme ilikuwa ikianguka hovyo.
mayenga porojo zako peleka fb siyo hapa JF.Hakuna kitu kama hicho.kuna senene ndiyo kama misimu mingine ya mwaka na wala hazijavunja rekodi yoyote .Katika hali isiyo ya kawaida,mtoto mmoja katika wilaya ya Karagwe amekufa baada ya wale wadudu watamu kwa wingi wao kumshambulia na kumziba pua na mdomo.Hali ilivyo kwa sasa,wadudu hawa wamekuwa wengi kupita pengine miaka yote iliyopita.Taarifa za kuaminika kutoka Bukoba mjini ni kwamba,kutokana wingi wa wadudu hawa,Tanesco mkoani humo,ililazimika kukata umeme kwa baadhi ya maeneo kwani kutokana na wingi wa wadudu hao,baadhi ya miti ya kawaida na ya umeme ilikuwa ikianguka hovyo.
Katika hali isiyo ya kawaida,mtoto mmoja katika wilaya ya Karagwe amekufa baada ya wale wadudu watamu kwa wingi wao kumshambulia na kumziba pua na mdomo.Hali ilivyo kwa sasa,wadudu hawa wamekuwa wengi kupita pengine miaka yote iliyopita.Taarifa za kuaminika kutoka Bukoba mjini ni kwamba,kutokana wingi wa wadudu hawa,Tanesco mkoani humo,ililazimika kukata umeme kwa baadhi ya maeneo kwani kutokana na wingi wa wadudu hao,baadhi ya miti ya kawaida na ya umeme ilikuwa ikianguka hovyo.
Ngumu kumeza!
mayenga porojo zako peleka fb siyo hapa JF.Hakuna kitu kama hicho.kuna senene ndiyo kama misimu mingine ya mwaka na wala hazijavunja rekodi yoyote .
Pole sana na kajipange tena