Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,464
cc to Ridhiwani Kikwete
cc to Ridhiwani Kikwete
Karim Wade, mtoto was rais wa zamani wa Senegal, Abdoulaye Wade kawekwa lupango miaka 6 kwa ufisadi. Uhalifu huo ulifanyika chini ya mwavuli wa, na kulindwa na baba yake wakati akiwa madarakani. Hili ni fundisho kwa jamaa fulani hapa kwetu pia.
Huyo ni maskini tu kama wengine, tatizo lenu mnachanganya mtu kuwa mtoto wa rais na utajiri, Ridhiwani hawezi kuwa na utajiri mnaodhani anao. Ni mtu mwenye kipato cha kati na si mabilioni mnayozusha anayo, mkimfahamu kwa karibu ndio mtajua kuwa mnamuonea labda mseme mengine lakini si utajiri.
JF - where we dare talk openly mtaje tu kuwa ni Riz moko