Senegal elections: Re run is a likely event

Senegal elections: Re run is a likely event

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,748
Reaction score
29,233
President Abdoulaye Wade of Senegal at 85 years of age who is seeking reelection has conceded that poll re-run is very likely since there is no apparent winner so far. Wade is leading by 32%, being followed closely by Mack Sally a former PM by 25%. Mack Sally at age of 50yrs is a gelogist
 
Africa leading continent kwa viongozi ambao wanang'ang'ania madaraka licha ya kwamba umri umewatupa mkono
At age ya 85 bado unaomba kutawala ni nini ambacho umeacha huko ikulu ambacho bado hujafanya au unatarajia kufanya katika umri huo
Na ni kipi ambacho utawafanyia wananchi wako katika umri huo ambacho ulishindwa kukifanya ukiwa kijana
What a shame to Wade
 
Wewe hujaona jinsi ambavyo watu wanamsifia Mugabe mwenye umri wa miaka 88 na ambaye keshatangaza nia ya kugombea tena
 
Wewe hujaona jinsi ambavyo watu wanamsifia Mugabe mwenye umri wa miaka 88 na ambaye keshatangaza nia ya kugombea tena

Mkuu hapo ndio nashindwa kuelewa
Mugabe ameacha nini huko ikulu ambacho hataki kuondoka awaachie wengine
Toka 1980 yuko madarakani na bado anataka kuendelea kuitawala Zimbabwe sawa na huyu Wade na age ya 85
Katika kizazi hiki cha maendeleo ni sera ipi anakuja nayo ya kuwakomboa watu wake na hali duni za maisha
Na katika zama hizi za science na technology anamudu vipi kwenda na kasi ya maendeleo

Wanatamani wafie madarakani yaani yuko ofcn anaugua na anapelekwa hospital kwa ugonjwa wa uzee
Hawa kuna vitu wanaficha wanaona wakiachia madaraka watawala watawauliza na kuwafungulia mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka
 
Wewe hujaona jinsi ambavyo watu wanamsifia Mugabe mwenye umri wa miaka 88 na ambaye keshatangaza nia ya kugombea tena

Viongozi wengi wa bara la Africa wanaponzwa na wapamba au watu wanaowazunguka ambao wanapenda kiongozi aliye madarakani aendelee ili nao waendelee kupata masilahi yao. Mwangalie Bbagabo wa Ivory Coast alivyohadaiwa na mkewe mpaka akaja kushikwa kama panya buku na maaeshi ya Ufransa. Angalia Blaise Compaore wa Burkina Fasso au jirani yetu hapa Museveni. Ni aibu tupu kwa bara la Afrika
 
Back
Top Bottom