Sendozi za mtumba za kiume nzuri na imara

Mzee baba kama hauna size 45 ni bora ufunge tu duka...(joking)

Wauza viatu na sandals sijui kwa nini huwa mnakosa size kubwa...
Wabongo size zetu za viatu kwa wanaume watu wazima wengi tunacheza 40-44. Juu au chini ya hapo wapo wachache.

Pia ukinunua balo hauoni ndani kuna nini kwahiyo utakachokikuta ndio hicho hicho.
 
Basi sisi wa size 45 hadi 45.5 hapo tunapata shida sana aisee...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom