SASA unazingua kwenye send off wewe ni mwanaume umealikwa tu, nenda na gauni la bibi harusi kwenye begi, uwe na hela kidogo wakitaka ya kumtunzia mke kabla ya ndoa.Jamn kwenye sendoff za kihehe maitaji ua mwanaume kwenda nayo ni yapi? Au ni hvy vitenge tuu na kanga.. Msaada
Sawa mkuu vp kuhusu vitu vingn mfn vitenge kanga nk. Hakuna chakimila kinachoitajika. SamahanSASA unazingua kwenye send off wewe ni mwanaume umealikwa tu, nenda na gauni la bibi harusi kwenye begi, uwe na hela kidogo wakitaka ya kumtunzia mke kabla ya ndoa.
Karibu shemeji uheheni[emoji3]
Vya kimila ulishapeleka kwenye mahari, hapo upo huru mkuu!!!Sawa mkuu vp kuhusu vitu vingn mfn vitenge kanga nk. Hakuna chakimila kinachoitajika. Samahan
Ndafu ya li mbwa nafikili inahusikaJamani kwenye sendoff za kihehe mahitaji ua mwanaume kwenda nayo ni yapi? Au ni hivyo vitenge tuu na kanga.
Msaada
Ukija na hiyo kitu hakuna atakaekupokea[emoji23]Ndafu ya li mbwa nafikili inahusika