Send these boys to Mama jamani for a spanking.

Send these boys to Mama jamani for a spanking.

Naskia eti mashoga wengi wanakuwaga wamejazia bodi zao namna hiyo.... Any truth..!??
 
Naskia eti mashoga wengi wanakuwaga wamejazia bodi zao namna hiyo.... Any truth..!??

NO. In future dont believe everything you here. He bwana weeee hawawezi wote kuwa punga, na sisi tubakiziwe kidogo, mweeeeeh.
 
Hawa ni wanetu jamani ebo! Mungu wetu pishia mbali. Du!
Kama ni wanao Mungu akuepushie kweli dada weeeee. Hata mie wangekuwa wanangu ningemuomba aniepushie mbali mieeeee. But until then, let me appreciate God's creation.
 
Haiwezekani.

Kaka lisemwalo lipo,huyo jamaa umri huo na hela zote lakini hana mtoto. Demu wake yupo tu,mtu aliekua anakula mzogo kiukweli ni mwanasoka Seidolf. Clooney,anamlipa hela nyingi kumfunga mdomo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom