Send these boys to Mama jamani for a spanking.

Send these boys to Mama jamani for a spanking.

kiboko yao ni pesa tu, mbele ya pesa ukiwa hivyo unaonekana sii chochote wala lolote, mtu anaonekana ktuko hapo.
 
kiboko yao ni pesa tu, mbele ya pesa ukiwa hivyo unaonekana sii chochote wala lolote, mtu anaonekana ktuko hapo.

wala usijidanganye wewe hujiulizi kwa nini watu wanaacha waume zao wenye pesa wanafuta ma houseboy au magym instructors!! kuna gym instructor mmoja mpaka kanunuliwa gari na mke wa mtu. hakuna mtu asiyependa kitu kizuri. hawa wanaume kwenye hizo picha wanavutia sana. mtu mzuri mpe sifa yake. kama wewe hauko hivyo kazana na mazoezi utajengeka vizuri.
 
huyu baba naona km anazidi kuwa hendsam kila kunapokucha!!!
Huyu nae jamani anaumizaga roho yangu. Mweeeeeh. George Clooney. Damn. Sijui kwa vile the older the wine the better it tastes?
 
ila huyo wa NNE! kwa lugha nyepesi (to me,)..ni kuwa HANA MVUTO!!!
 
mwekundu is vry proud of himself
images

Oh he cant be real!!! This is gonna be spanked real bad.
 
Muangalie spritual strength na IQ sio hody appearance.....

Umeshasema tuangalie. So how do we see the spiritual strength and IQ? Acha kukata stimu weye. Let us enjoy God's creation.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom