Seminari Kipalala wavamiwa - in progress!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Seminari Kipalala wavamiwa - in progress!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 14, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Habari zinaingia kutaarifu kuwa seminari kuu ya Kipalala mkoani Tabora saa hii wamevamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi na tukio linaendelea wakati vikosi vya Polisi vinaelekea huko. Uvamizi huo umetokea muda mfupi uliopita na mmoja wa mapadre ambaye amejificha mahali amefanikiwa kutuma ujumbe wa SOS kutaarifu juu ya uvamizi huo.

  Situation is still fluid and resources za JF/KLHN zina monitoring the situation..!! Hadi hivi sasa hatujui madhara au uharibifu uliofanyika.
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Duh, Ama kweli Aqaeda wako Bongo! Lol!
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  hapa nimetoka kapa!
   
 4. t

  tk JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Labda ana maanisha Alqaida
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  nafahamu hilo sijaelewa kwanini imetajwa kwenye uvamizi wa seminari ya Kipalapala.. labda ningetaja iliyovamiwa ni Shule ya Sekondari ya Tabora Boys labda Al-qaida isingetajwa? LOL
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,661
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana kwa taarifa hii, wameamua kuvamia saa tano za usiku. I hope hao majambazi watanaswa na hawatafanikiwa kutimiza dhamira yao ya kutenda unyama.
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Yawezekana Majambazi uchwara tu..may be njaa na shida nyingi mno Tabora!

  Alqueda hapo hakuna US interest!
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Nadhani ni majambaza 'wa kawaida' tu....poleni sana wana kipala pala...masikini mafrateri walikuwa wamshatoka kwenye masifu na wapo kwenye 'mandatory sleeping'...
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Umejuaje? Wee wtoka huku? Nafikiri ukweli utajulikana soon.
  Pole Mapadre wetu wa Kipalapala.
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Poleni wana Kipalala
   
 11. t

  tk JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata hivyo isingetajwa. Nje ya Afdhanistan, adui wa Alqaida ni Mmarekani, Serikali ya Pakistan na nchi za mgaharibi zilizosaidia mashambulizi ya Afghanistan na Iraq. Alqaida haina ugomvi wa wazi na makanisa kwa kiasi ninachojua mimi.

  Inaonyesha hawa ni majambazi ya kawaida ambayo hayamuogopi Mungu.
   
 12. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sasa hapo cha kukufanya ku ``laugh out loud`` ni nini?

  Habari za majambazi we unacheka, sijui ni kwa sababu huwa unasema uko Canada, ya Tanzania, hayakugusi?
   
 13. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Sehemu palipo na njaa hakuna ustaarabu
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Wakishakamatwa wafanyiwe utafiti ni kwanini wavamie sehemu hiyo. Yawezekana ni matatizo ya kijamii yamewasababisha kufanya vitu vya namna hiyo.
   
 15. M

  Mkandara Verified User

  #15
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mzee Mwankijij,
  Unajua mkuu hapa JF taabu kweli kweli kufahamu lugha za mtaani..wazitokweli nyie na sijui inatokana na kujishtukia sana au vipi?..
  Sasa ikiwa Alqaeda haina mazuri wala sifa zaidi ya Magaidi, washenzi na kadhalika hawa jamaa waliovamia hiyo shule tutawaita kina nani..Au mkapa ijulikane ni dini gani!..
  Jamani mbona kiharusi kinawashika mapema! au nalo utaniuliza kiharusi una maana gani..utani tu bob - damn!
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jun 15, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mtakatifu Dilunga atahoji kwa nini unaleta utani na mzaha mzaha kwenye ishu kama hii...
   
 17. M

  Mkandara Verified User

  #17
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nyani Ngabu,
  najua mkuu wangu mijitu mingine hununa hata Kitandani!
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jun 15, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Duh! ebana eeh hii kali Bob....Lol
   
 19. Brutus

  Brutus Senior Member

  #19
  Jun 15, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 174
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ha ha ha si mchezo!
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  This one will be the quote of the month!! Nilikuwa nimenuna (siyo kitandani!..) sasa nacheka LOL Unajua wakati mwingine jokes si wote wanazipata mara moja (ndio maana nilisema nimetoka kapa..) hadi ulivyofafanua!
   
Loading...