Semina ya Wanawake 16/07/2016

N

NurDin Yussuph

Member
Joined
Feb 20, 2015
Messages
7
Likes
2
Points
3
Age
26
N

NurDin Yussuph

Member
Joined Feb 20, 2015
7 2 3
bb489cd5d56f11df2f52ef0ca33c5fa5.jpg

****** SEMINA YA WIKI*****

Hii ni semina kubwa kwa WANAWAKE, itakayofanyika 16/07/2016 Jumamosi hii pale King Solomon Hall kuanzia muda 3pm kwa kiingilio cha 10,000/=
Mwanamke unathaman kubwa kwenye Uchumi na Malezi bora. Njoo Ujifunze njia za ujasiriamali kutoka kwa wanawake waliofanikiwa na kuendelea kupata Heshima kwa mafanikio yao.
#Tatizo la Ajira kwa Akina Mama
#Ujuzi Wa Biashara Sahihi
#Njia za Kukuza Biashara
#Ukuuzaji wa Kipato Endelevu
#Ujenzi wa Familia Bora na n.k
Njoo Ujifunze namna ya kuondokana Sekeseke la Mikopo na Biashara za Mikopo
Nafasi Ni Chache Jipatie kadi yako mapema kwa kuwasiliana na
Nurdin Yussuph +255765100319
+255676100319

N:B
Mwanamke aliyefanikiwa n yule aliyejenga Uchumi wake kwa kupitia Ujasiamali na Malezi Bora kwa Familia Pamoja na jamii inayomzunguka
 
N

NurDin Yussuph

Member
Joined
Feb 20, 2015
Messages
7
Likes
2
Points
3
Age
26
N

NurDin Yussuph

Member
Joined Feb 20, 2015
7 2 3
bb5d9b71b0e41324ecb7b8aca717c8a1.jpg

Luhanyula

Luhanyula

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Messages
1,380
Likes
1,814
Points
280
Luhanyula

Luhanyula

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2016
1,380 1,814 280
Hamna lengo la kuwasaidia wakina mama(wanawake),bali mna lengo lakujipatia fedha.
 
N

NurDin Yussuph

Member
Joined
Feb 20, 2015
Messages
7
Likes
2
Points
3
Age
26
N

NurDin Yussuph

Member
Joined Feb 20, 2015
7 2 3
Hamna lengo la kuwasaidia wakina mama(wanawake),bali mna lengo lakujipatia fedha.
Hii semina imeandaliwa na akina mama so kama una mama au mke mchukulie kadi then atarudi kukufundisha na wewe
 
Forum statistics

Threads 1,236,657
Members 475,218
Posts 29,265,747