semina ya walimu wa sayansi dar yavunjika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

semina ya walimu wa sayansi dar yavunjika.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by thatha, Jun 29, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  katika hali isiyokuwa ya kawaida semina ya walimu wa sayansi na hesabu iliyokuwa ikiendelea jijin dsm imevunjika baada ya walimu hao kulipwa tsh 15,000 per badala ya 45,000 per day kama walaka unavyo elekeza,inasadikika kuwa ofisi ya REO imechakachua kiasi kikubwa cha pesa na kuwaacha walimu hao wakiambulia 15000 tu,sambamba na hilo semina hiyo ilikuwa ikiendeshwa katika mazingira magumu ikiwa ni pamoja nahuduma mbaya za chakula na vifaa duni vya kuendeshea mafunzo hayo.hivyo basi walimu wote kwa umoja wao waliamua kuyasusia mafunzo hayo huku uongozi wa elim wa mkoa usijue nini cha kufanya.
  my take;
  inchi hii inakwenda wapi uchakachuzi kila idara.
   
 2. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,567
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Wapuzii walimu wamezidi kuhemea POSHO.
   
 3. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kibanga Ampiga Mkoloni toa hoja na njia mbadala si kutumia kauli kali au wewe ndio REO mnufaika na kinacholalamikiwa?
   
 4. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  Hebu tizama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz! (ajira mpya cheti) mwl 244,400/= afya 472,000/= kilimo/mifugo 959,400/= sheria 630,000/= diploma mwl 325,700/= afya 682,000/= klm/mfg 1,133,600/= sheria 871,500/= degree mwl 469,200/= afya 802,200/= klm/mfg 1,354,000/= sheria 1,166,000/= je upo tayari kuvumilia kunyanyaswa hivo ktk utumishi wa umma wa taifa moja lenye soko la bidhaa lililo na mfumuko wa bei wa kutisha? Ungana na cwt kudai nyongeza ya mishahara 100%, teaching allowance, hardship allowance.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  hiyo 30,000 itakua imekatwa kwene chakula/malazi n.k. ndio 'ujasiriamali' wa wabongo (utapeli)..mie sihudhurii semina-elekezi yeyote mpaka nikatiwe changu, hakuna sababu ya kuwa kitoweo cha 'wajasiriamali' uchwara bila sababu.
   
Loading...